Barbara Gonzalez anamaanisha nini? Kuna nini Simba?

Mnatabu kama boss wenu Mo na mkimnunia tu mnarudi kwa miguu au mnaunga mabasi kutoka Uturuki mpaka bongo.
Wala hatujariiii na sio shida zetuu, pambanaa na yenuuu.
Wakati mnatembeza bakuliii, hamkuwa mnaona tabuu??

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wala hatujariiii na sio shida zetuu, pambanaa na yenuuu.
Wakati mnatembeza bakuliii, hamkuwa mnaona tabuu??

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Boss iko jambisha nyinyi.
 
Duh!
Hebu ongea kiswahili basi, hiyo lugha sisi hatuiwezi
 
Aisee hii habari iliwekwa lakini ilitolewa fasta kumbeeee mmmh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…