Barbara Gonzalez CEO wa Simba SC nakukubali kiutendaji, ila acha kumdharau Senzo Mazingisa kwani hujafikia hata 15% tu ya uwezo wake

Kuna 'Mijitu' ni 'Mipumbavu' na ninashangaa kwanini CORONA haikuondoka na nyie. Hivi unavyodhihaki CV kuna 'anayeajiriwa' kokote bila hiyo CV?
Wewe kichwa maji!! Huna akili kila siku kuleta vi uzi vyako vya kijinga jinga, kubwa la mapopoma, nafikili ulipitia tundu la uani!! Unakuta hata iyo interview ukusikiliza zaidi ya kusoma kwenye taarifa za pages za udaku uko instagram unatuletea hapa!! Unashindwa kung'amua hata swali alilo ulizwa Madam CEO?!! Yeye ni CEO wa club, kajibu vizuri kuwa hawezi kufananishwa na mtu ambae wako tofauti kiutendaji, siyo class yake!!
Yaani wewe ng'ombe wa kigogo, unashobokea wageni kishenzi, au unapigwa spana na uyo tapeli wa kizulu!!
 
Mbona CV yake ni kubwa ni ya Event organization? (Labda ndio maana kaorganize marathon), lakin kiutendaji ni Orlando na Plantinum ambapo hakupata mafanikio ya maana. Kwa Simba Gonzalez amepata mafanikio makubwa kulikov Senzo, hilo halina ubishi. Kuhusu mahusiano ya kimapenzi imani yangu imenifunga kwa vile sijawahi kushuhudia na wala sina ushahidi na hilo. Ni vema tukasikiliza interview yote badala ya kuchagua ka nusu sentensi na kukaanzishia nyuzi. Kuna mambo mengi ya maana ya football development ameyaongea but sisi tunapenda zaidi football politics ndio maana 99% ya yalioongelewa (football development) yameachwa kabisa na 01% ndio yamekua mjadala. GENTAMYCINE the big fella, you are so better than this.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Genta umegusa point muhimu sana

Barbara katika position ya u-CEO kwenye football industry bado ni Junior, bado hajafikia hata robo ya u-senior kama alivyo Senzo.

Senzo anapossess experience, skills na exposures ya kiuongozi ktk football industry kwenye nchi tofauti tofauti na kwenye ligi kubwa ( PSL) na kuwa mmoja wa coordination team kwenye major tournament kama WORLD CUP

Hvyo Barbara kusema Senzo sio class yake labda awe amemaanisha asilinganishwe na mtu aliye juu kiuwezo kwakuwa yeye barbara bado ni Junior ktk hio position
 
Naona Mkude atakuwa type yake
 
Wewe kweli ngo'mbe wa kigogo!! Hata akili za kuelewa kuwa alipata opportunity hizo kwa sababu mashindano ya wordcup yalikuwa yanafanyika kwenye ardhi yao!!
Kama angelikuwa kweli amepafomu vizuri FIFA, isingeshindwa kumtumia tena kwenye shughuli zake!!ni mafanikio gani amepata nje ya nchi yake kiutendaji?!!
Tupe CV yake kabla ya 2008,?!! Niambie ni shughuli gani ambazo amewahi kuwa appointed na FIFA au CAF?!! Ukiondoa zile zilizofanyika uko kwao ambazo nazo sio kwamba FIFA walimpoint, bali ni SAFA.
Tuoneshe ni mafanikio gani amepata,ngazi ya africa, toka awe manager na CEO kwenye ngazi za vilabu uko kwao South Africa, Zimbabwe na pia Tanzania ambako anafanya kazi?! Mwisho tupe CV yake ya elimu ili tuone amesoma wapi na kwa kiwango gani ili tumlinganishe na CEO wa Simbasc?!! Mtu ambae alishindwa kufanya contact hand over!! Kwa mwajiri wake ndio unasema "eti" ni mweledi?!! Unashoboka sana na wageni matapeli nafikili kwasababu huna exposure yeyote zaidi ya kwenda kwenu mpwapwa na kurudi dsm ndio maana unawaona watu, kariba ya mr mazingiza kuwa ni weledi!! Uyo mtu wako kwa taarifa yako ni mweupe kichwani,ungekuwa una hata connection kidogo hapa mjini!! Ungejua kwa nini MO Dewji alianza kumpuuzia!! Kama kweli wewe ni mtoto wa town kama unavyojinasibu!! Uliza kwa nn alishindwa kuweka sawa mkataba wa Simbasc na equity bank!! Mpaka ms babra ndio akaja kuokoa jahazi!! Uyo tapeli wa kizulu ni mweupe kichwani, wajinga kama wewe ndio mnamuona bora kutokana na uelewa wenu mdogo.
 
Hapo mtani nimekukubali bure.
 
Huyu Mrs Jonas nae amekuwa kama vuvuzela lopolopo tuliyemzoea na kumpotezea.
 
Una uhakika Senzo alipewa freedom ya kutosha pale simba? Mawazo yake yalitekelezwa kwa kiasi kikubwa!!?
 
Naona umetoka kifungoni na wenge!! Hivi una uhakika kuwa CEO ana mahusiano na mwekezaji wa Simbasc?!! Au umeamua tu kuchafua jina la mwekezaji?!! Uyo mr Mazingira una uhakika CV yake inaendana na utendaji wake?!!
Kwani ametaja Wana mahusiano ya aina gani?

Inawezekana anazungumzia mahusiano ya boss na mfanyakazi wake.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…