Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,289
- 46,624
Sijui kuhusu hilo mkuu..Huyo Marina wa Chelsea na yeye alikua ni pisi ya boss?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui kuhusu hilo mkuu..Huyo Marina wa Chelsea na yeye alikua ni pisi ya boss?
Hahahahahahahaha daaah!! Mitano Tena!![emoji1]Angalieni ni wapi kwa kukitumia hiki 'Kibwagizo' chenu cha 'Kipumbavu' cha kila mahala mnasema tu Mitano tena. Mitano tena ya Kubanduliwa au?
Type yake Ni Ghabachori yori yoriMpaka kusema senzo sio type yake[emoji23][emoji23]
Ni yuko vizuri Sana au connection tu?Hata hivyo hana muda mrefu hapo Simba SC kama CEO Kwani kuna Kampuni moja Kubwa tu ( Corporate ) inaenda Kumuajiri kama CEO wao pia.
Wewe kichwa maji!! Huna akili kila siku kuleta vi uzi vyako vya kijinga jinga, kubwa la mapopoma, nafikili ulipitia tundu la uani!! Unakuta hata iyo interview ukusikiliza zaidi ya kusoma kwenye taarifa za pages za udaku uko instagram unatuletea hapa!! Unashindwa kung'amua hata swali alilo ulizwa Madam CEO?!! Yeye ni CEO wa club, kajibu vizuri kuwa hawezi kufananishwa na mtu ambae wako tofauti kiutendaji, siyo class yake!!Kuna 'Mijitu' ni 'Mipumbavu' na ninashangaa kwanini CORONA haikuondoka na nyie. Hivi unavyodhihaki CV kuna 'anayeajiriwa' kokote bila hiyo CV?
Mbona CV yake ni kubwa ni ya Event organization? (Labda ndio maana kaorganize marathon), lakin kiutendaji ni Orlando na Plantinum ambapo hakupata mafanikio ya maana. Kwa Simba Gonzalez amepata mafanikio makubwa kulikov Senzo, hilo halina ubishi. Kuhusu mahusiano ya kimapenzi imani yangu imenifunga kwa vile sijawahi kushuhudia na wala sina ushahidi na hilo. Ni vema tukasikiliza interview yote badala ya kuchagua ka nusu sentensi na kukaanzishia nyuzi. Kuna mambo mengi ya maana ya football development ameyaongea but sisi tunapenda zaidi football politics ndio maana 99% ya yalioongelewa (football development) yameachwa kabisa na 01% ndio yamekua mjadala. GENTAMYCINE the big fella, you are so better than this.1. 2010 South Africa World Cup Coordinator
2. FIFA Confederation Cup 2009 Event Coordinator
3. South Africa Tournament Director
4. PSL Ticketing and Security Committee Director
5. CAF Symposium Delegate Director
6. General Manager at Platinum Stars Football
7. Orlando Pirates Director of Administration
Naisubiri CV ya Barbara Gonzalez kutoka Kwako Mkuu. Ukiona GENTAMYCINE nampenda / namkubali Mtu jua yuko vizuri halafu pia ana IQ Kubwa.
Cc: User2008, rodrick alexander
Naona Mkude atakuwa type yakeBARBARA AMKATAA SENZO "sio Type Yangu"
Kuhusu kufananishwa na yule bwana wa upande wa pili nisingependa kujibu kwa sababu haina tija, Mimi sisumbuliwi na propaganda za watu kabisa.
Nimesimama imara, najiamini kwenye uwezo wangu, Kama mtu anatafuta sehemu ya kuji-brand, namuona mtu huyo ni mwepesi. Sisumbuliwi hata kidogo.
Mimi ni mweledi, najua uwezo wangu na huwezi kunifananisha na mtu ambaye hana ‘class’ yangu ( Senzo is not my type)
Chanzo: cloudsfmtz na simba_breaking_news
Mimi ni Simba SC Mwenzako ila sijazoea Unafiki na hupenda kuwa Mkweli hata kama 'nitawaudhi' Watu. Barbara Gonzalez CEO wa Simba SC bado una mengi hasa ya 'Kiutendaji' ya 'Kujifunza' kutoka Kwake Senzo Mazingisa aliyeko kwa Watani zetu sasa Yanga SC. Kiburi chako cha Pesa na kuwa karibu na 'Mwekezaji' Mo Dewji hasa 'Kimahusiano' yenu kusikufanye nawe ujione ni Tajiri Afrika. CV ya Senzo Mazingisa haitishi tu hapa Tanzania bali hata huko CAF na FIFA pia anatambulika na kuheshimika pia.
Barbara Gonzalez ifuatayo hapa chini ni sehemu ya Uzoefu wa Kiutendaji wa aliyekuwa CEO wa Simba SC Senzo Mazingiza ili ujue kuwa haumpati
1. 2010 South Africa World Cup Coordinator
2. FIFA Confederation Cup 2009 Event Coordinator
3. South Africa Tournament Director
4. PSL Ticketing and Security Committee Director
5. CAF Symposium Delegate Director
6. General Manager at Platinum Stars Football
7. Orlando Pirates Director of Administration
Wewe kweli ngo'mbe wa kigogo!! Hata akili za kuelewa kuwa alipata opportunity hizo kwa sababu mashindano ya wordcup yalikuwa yanafanyika kwenye ardhi yao!!1. 2010 South Africa World Cup Coordinator
2. FIFA Confederation Cup 2009 Event Coordinator
3. South Africa Tournament Director
4. PSL Ticketing and Security Committee Director
5. CAF Symposium Delegate Director
6. General Manager at Platinum Stars Football
7. Orlando Pirates Director of Administration
Naisubiri CV ya Barbara Gonzalez kutoka Kwako Mkuu. Ukiona GENTAMYCINE nampenda / namkubali Mtu jua yuko vizuri halafu pia ana IQ Kubwa.
Cc: User2008, rodrick alexander
Hapo mtani nimekukubali bure.BARBARA AMKATAA SENZO "sio Type Yangu"
Kuhusu kufananishwa na yule bwana wa upande wa pili nisingependa kujibu kwa sababu haina tija, Mimi sisumbuliwi na propaganda za watu kabisa.
Nimesimama imara, najiamini kwenye uwezo wangu, Kama mtu anatafuta sehemu ya kuji-brand, namuona mtu huyo ni mwepesi. Sisumbuliwi hata kidogo.
Mimi ni mweledi, najua uwezo wangu na huwezi kunifananisha na mtu ambaye hana ‘class’ yangu ( Senzo is not my type)
Chanzo: cloudsfmtz na simba_breaking_news
Mimi ni Simba SC Mwenzako ila sijazoea Unafiki na hupenda kuwa Mkweli hata kama 'nitawaudhi' Watu. Barbara Gonzalez CEO wa Simba SC bado una mengi hasa ya 'Kiutendaji' ya 'Kujifunza' kutoka Kwake Senzo Mazingisa aliyeko kwa Watani zetu sasa Yanga SC. Kiburi chako cha Pesa na kuwa karibu na 'Mwekezaji' Mo Dewji hasa 'Kimahusiano' yenu kusikufanye nawe ujione ni Tajiri Afrika. CV ya Senzo Mazingisa haitishi tu hapa Tanzania bali hata huko CAF na FIFA pia anatambulika na kuheshimika pia.
Barbara Gonzalez ifuatayo hapa chini ni sehemu ya Uzoefu wa Kiutendaji wa aliyekuwa CEO wa Simba SC Senzo Mazingiza ili ujue kuwa haumpati
1. 2010 South Africa World Cup Coordinator
2. FIFA Confederation Cup 2009 Event Coordinator
3. South Africa Tournament Director
4. PSL Ticketing and Security Committee Director
5. CAF Symposium Delegate Director
6. General Manager at Platinum Stars Football
7. Orlando Pirates Director of Administration
Huyu Mrs Jonas nae amekuwa kama vuvuzela lopolopo tuliyemzoea na kumpotezea.BARBARA AMKATAA SENZO "sio Type Yangu"
Kuhusu kufananishwa na yule bwana wa upande wa pili nisingependa kujibu kwa sababu haina tija, Mimi sisumbuliwi na propaganda za watu kabisa.
Nimesimama imara, najiamini kwenye uwezo wangu, Kama mtu anatafuta sehemu ya kuji-brand, namuona mtu huyo ni mwepesi. Sisumbuliwi hata kidogo.
Mimi ni mweledi, najua uwezo wangu na huwezi kunifananisha na mtu ambaye hana ‘class’ yangu ( Senzo is not my type)
Chanzo: cloudsfmtz na simba_breaking_news
Mimi ni Simba SC Mwenzako ila sijazoea Unafiki na hupenda kuwa Mkweli hata kama 'nitawaudhi' Watu. Barbara Gonzalez CEO wa Simba SC bado una mengi hasa ya 'Kiutendaji' ya 'Kujifunza' kutoka Kwake Senzo Mazingisa aliyeko kwa Watani zetu sasa Yanga SC. Kiburi chako cha Pesa na kuwa karibu na 'Mwekezaji' Mo Dewji hasa 'Kimahusiano' yenu kusikufanye nawe ujione ni Tajiri Afrika. CV ya Senzo Mazingisa haitishi tu hapa Tanzania bali hata huko CAF na FIFA pia anatambulika na kuheshimika pia.
Barbara Gonzalez ifuatayo hapa chini ni sehemu ya Uzoefu wa Kiutendaji wa aliyekuwa CEO wa Simba SC Senzo Mazingiza ili ujue kuwa haumpati
1. 2010 South Africa World Cup Coordinator
2. FIFA Confederation Cup 2009 Event Coordinator
3. South Africa Tournament Director
4. PSL Ticketing and Security Committee Director
5. CAF Symposium Delegate Director
6. General Manager at Platinuu Stars Football
7. Orlando Pirates Director of Administration
Ha ha ha haAngalieni ni wapi kwa kukitumia hiki 'Kibwagizo' chenu cha 'Kipumbavu' cha kila mahala mnasema tu Mitano tena. Mitano tena ya Kubanduliwa au?
Una uhakika Senzo alipewa freedom ya kutosha pale simba? Mawazo yake yalitekelezwa kwa kiasi kikubwa!!?Babra amemzidi Senzo elimu, hana elimu ya kuungaunga kama kina sisi.
Hivi mliwahi jiuliza kilichomtoa huyo Senzo huko kwao mpaka aka apply kazi Simba?
Senzo is Overrated, amekuwepo simba hatukuona maajab yoyote simba ilibaki kuwa ile ile.
Kuhusu senzo kuwa na CV kubwa, je hiyo CV ndo inayofanya kazi?
Kwasababu senzo ana CV kubwa ina maana watu wengine hawaruhusiwi kujenga CV zao?
Hivi Unadhani kuwa Assistant wa bilionea ni kitu rahisi? Lazima ana uwezo mkubwa ila atapingwa sana sababu ya jinsia yake.
Kwani ametaja Wana mahusiano ya aina gani?Naona umetoka kifungoni na wenge!! Hivi una uhakika kuwa CEO ana mahusiano na mwekezaji wa Simbasc?!! Au umeamua tu kuchafua jina la mwekezaji?!! Uyo mr Mazingira una uhakika CV yake inaendana na utendaji wake?!!
Acha kubwabwaja ww haukusikiliza. Umedandia tuu ndonga kwa nyuma kama kawaida yako.Kwakuwa hiyo Interview uliisikiliza peke yako ukiwa na 'Basha' wako Chumbani basi acha nikubaliane nawe kuwa Mimi sikuisikiliza na nimezusha tu.