Haujaachaga tuu kutumia kichwa kama dispencer ya makamasi?Umeshamalizana na 'Basha' wako tayari asubuhi hii au?
Punguza kiherehere kumeri.Aliyekubeba tumboni mwake miezi 'Kenda' na 'Kukutapika' Leba aliacha lini?
8. Young Africans SC calendar inaugurator1. 2010 South Africa World Cup Coordinator
2. FIFA Confederation Cup 2009 Event Coordinator
3. South Africa Tournament Director
4. PSL Ticketing and Security Committee Director
5. CAF Symposium Delegate Director
6. General Manager at Platinum Stars Football
7. Orlando Pirates Director of Administration
Zote ni assumptions, ila mwisho inabaki kuwa hakuna maajabu aliyoyafanya simba kiasi cha kutukuzwa.Una uhakika Senzo alipewa freedom ya kutosha pale simba? Mawazo yake yalitekelezwa kwa kiasi kikubwa!!?
Umejitahidi kumtetea mwanamke mwenzako ila bado haiondoi ukweli kua mke ya mkude bado sana kwa senzoBabra amemzidi Senzo elimu, hana elimu ya kuungaunga kama kina sisi.
Hivi mliwahi jiuliza kilichomtoa huyo Senzo huko kwao mpaka aka apply kazi Simba?
Senzo is Overrated, amekuwepo simba hatukuona maajab yoyote simba ilibaki kuwa ile ile.
Kuhusu senzo kuwa na CV kubwa, je hiyo CV ndo inayofanya kazi?
Kwasababu senzo ana CV kubwa ina maana watu wengine hawaruhusiwi kujenga CV zao?
Hivi Unadhani kuwa Assistant wa bilionea ni kitu rahisi? Lazima ana uwezo mkubwa ila atapingwa sana sababu ya jinsia yake.
Mh mbona wanawake mmechachamaa hivi?mnamtetea sana mwenzenuWewe kichwa maji!! Huna akili kila siku kuleta vi uzi vyako vya kijinga jinga, kubwa la mapopoma, nafikili ulipitia tundu la uani!! Unakuta hata iyo interview ukusikiliza zaidi ya kusoma kwenye taarifa za pages za udaku uko instagram unatuletea hapa!! Unashindwa kung'amua hata swali alilo ulizwa Madam CEO?!! Yeye ni CEO wa club, kajibu vizuri kuwa hawezi kufananishwa na mtu ambae wako tofauti kiutendaji, siyo class yake!!
Yaani wewe ng'ombe wa kigogo, unashobokea wageni kishenzi, au unapigwa spana na uyo tapeli wa kizulu!!
Unanikosea heshima mkuu, sio mwanamke mimi.Umejitahidi kumtetea mwanamke mwenzako ila bado haiondoi ukweli kua mke ya mkude bado sana kwa senzo
BARBARA AMKATAA SENZO "sio Type Yangu"
Kuhusu kufananishwa na yule bwana wa upande wa pili nisingependa kujibu kwa sababu haina tija, Mimi sisumbuliwi na propaganda za watu kabisa.
Nimesimama imara, najiamini kwenye uwezo wangu, Kama mtu anatafuta sehemu ya kuji-brand, namuona mtu huyo ni mwepesi. Sisumbuliwi hata kidogo.
Mimi ni mweledi, najua uwezo wangu na huwezi kunifananisha na mtu ambaye hana ‘class’ yangu ( Senzo is not my type)
Chanzo: cloudsfmtz na simba_breaking_news
Mimi ni Simba SC Mwenzako ila sijazoea Unafiki na hupenda kuwa Mkweli hata kama 'nitawaudhi' Watu. Barbara Gonzalez CEO wa Simba SC bado una mengi hasa ya 'Kiutendaji' ya 'Kujifunza' kutoka Kwake Senzo Mazingisa aliyeko kwa Watani zetu sasa Yanga SC. Kiburi chako cha Pesa na kuwa karibu na 'Mwekezaji' Mo Dewji hasa 'Kimahusiano' yenu kusikufanye nawe ujione ni Tajiri Afrika. CV ya Senzo Mazingisa haitishi tu hapa Tanzania bali hata huko CAF na FIFA pia anatambulika na kuheshimika pia.
Barbara Gonzalez ifuatayo hapa chini ni sehemu ya Uzoefu wa Kiutendaji wa aliyekuwa CEO wa Simba SC Senzo Mazingiza ili ujue kuwa haumpati
1. 2010 South Africa World Cup Coordinator
2. FIFA Confederation Cup 2009 Event Coordinator
3. South Africa Tournament Director
4. PSL Ticketing and Security Committee Director
5. CAF Symposium Delegate Director
6. General Manager at Platinum Stars Football
7. Orlando Pirates Director of Administration
Ooh sorry mkuu, unajua koment zako zimekaa kike kike sana, anyway kesho ndio mnachukua kombe lenu si ndio eeUnanikosea heshima mkuu, sio mwanamke mimi.
Hii inaonesha nini umebeba kichwani mwako so hakuna haja ya kubishana na wewe
Shule bado zinapokea wanafunzi,wahi.Asee! Huu ni wivu,husda au kijicho?
CV ndefu ya Senzo haiondoi ukweli kwamba Barbara siyo level ya Senzo.Kila mtu ana uwezo wake.
Kumlazimisha CEO wa Simba akubali kuwa level moja na "mshauri tu" wa yanga,sio sawa hata kidogo.
CEO analinganishwa na ma CEO wenzake.Watanzania acheni akili za ki mediocre zinazotufanya wengi tusifike mbali badala yake tunaishia kuchamba tu katika mitandao
Huyo Marina wa Chelsea na yeye alikua ni pisi ya boss?
Shule bado zinapokea wanafunzi,wahi.
Mh mbona wanawake mmechachamaa hivi?mnamtetea sana mwenzenu
punguza jazba utelembwe.Hivi mwanaume unakuwaje na wivu kwa mwanamke ku date na mwanaume mwingine?Ninyi wanaume wa Dar mna mapungufu gani?
Kwani yeye kuwa pisi ya Mo kama ni kweli inakuuma nini?au ina haja gani kujadili issue personal?