Barbara Gonzalez CEO wa Simba SC nakukubali kiutendaji, ila acha kumdharau Senzo Mazingisa kwani hujafikia hata 15% tu ya uwezo wake

Barbara Gonzalez CEO wa Simba SC nakukubali kiutendaji, ila acha kumdharau Senzo Mazingisa kwani hujafikia hata 15% tu ya uwezo wake

Tatizo nyie waswahili maneno mengi tena matupu.
Siku zote uwezo wa mtu unapimwa kwa performance sio kwa miaka aliyokuwemo kwenye fan. Ukipima performance ya CEO wa simba na huyo mshauri wa Yanga, utaelewa kwann Man u pamoja na ku ajiri majina makubwa ya mameneja ilishindwa kurudi on top. Junior Ole Guna ndo kaja kuirudisha on top pamoja na kudharauliwa na watu kuwa hana uwezo. Last year on top 4 this year anautafuta ubingwa.

Inawezekana huyo Senzo alikuwa na performance huko enzi hizo. Lakin soko na mazingira ya sasa yamemtupa mkono. Akina Barbara watam outsmart tu.

Ndio soko na demand ya soka inavyokwenda. Tukaneni tu then mtaelewa tu baadae. Mtajua kuwa kati ya Kitimoto na ngombe nani anatoa nyama iliyonona na inayopendwa sokon.
 
1. 2010 South Africa World Cup Coordinator
2. FIFA Confederation Cup 2009 Event Coordinator
3. South Africa Tournament Director
4. PSL Ticketing and Security Committee Director
5. CAF Symposium Delegate Director
6. General Manager at Platinum Stars Football
7. Orlando Pirates Director of Administration
8. Young Africans SC calendar inaugurator
 
Babra amemzidi Senzo elimu, hana elimu ya kuungaunga kama kina sisi.
Hivi mliwahi jiuliza kilichomtoa huyo Senzo huko kwao mpaka aka apply kazi Simba?
Senzo is Overrated, amekuwepo simba hatukuona maajab yoyote simba ilibaki kuwa ile ile.
Kuhusu senzo kuwa na CV kubwa, je hiyo CV ndo inayofanya kazi?
Kwasababu senzo ana CV kubwa ina maana watu wengine hawaruhusiwi kujenga CV zao?
Hivi Unadhani kuwa Assistant wa bilionea ni kitu rahisi? Lazima ana uwezo mkubwa ila atapingwa sana sababu ya jinsia yake.
Umejitahidi kumtetea mwanamke mwenzako ila bado haiondoi ukweli kua mke ya mkude bado sana kwa senzo
 
Wewe kichwa maji!! Huna akili kila siku kuleta vi uzi vyako vya kijinga jinga, kubwa la mapopoma, nafikili ulipitia tundu la uani!! Unakuta hata iyo interview ukusikiliza zaidi ya kusoma kwenye taarifa za pages za udaku uko instagram unatuletea hapa!! Unashindwa kung'amua hata swali alilo ulizwa Madam CEO?!! Yeye ni CEO wa club, kajibu vizuri kuwa hawezi kufananishwa na mtu ambae wako tofauti kiutendaji, siyo class yake!!
Yaani wewe ng'ombe wa kigogo, unashobokea wageni kishenzi, au unapigwa spana na uyo tapeli wa kizulu!!
Mh mbona wanawake mmechachamaa hivi?mnamtetea sana mwenzenu
 
Asee! Huu ni wivu,husda au kijicho?

CV ndefu ya Senzo haiondoi ukweli kwamba Barbara siyo level ya Senzo.Kila mtu ana uwezo wake.
Kumlazimisha CEO wa Simba akubali kuwa level moja na "mshauri tu" wa yanga,sio sawa hata kidogo.

CEO analinganishwa na ma CEO wenzake.Watanzania acheni akili za ki mediocre zinazotufanya wengi tusifike mbali badala yake tunaishia kuchamba tu katika mitandao
BARBARA AMKATAA SENZO "sio Type Yangu"

Kuhusu kufananishwa na yule bwana wa upande wa pili nisingependa kujibu kwa sababu haina tija, Mimi sisumbuliwi na propaganda za watu kabisa.

Nimesimama imara, najiamini kwenye uwezo wangu, Kama mtu anatafuta sehemu ya kuji-brand, namuona mtu huyo ni mwepesi. Sisumbuliwi hata kidogo.

Mimi ni mweledi, najua uwezo wangu na huwezi kunifananisha na mtu ambaye hana ‘class’ yangu ( Senzo is not my type)

Chanzo: cloudsfmtz na simba_breaking_news

Mimi ni Simba SC Mwenzako ila sijazoea Unafiki na hupenda kuwa Mkweli hata kama 'nitawaudhi' Watu. Barbara Gonzalez CEO wa Simba SC bado una mengi hasa ya 'Kiutendaji' ya 'Kujifunza' kutoka Kwake Senzo Mazingisa aliyeko kwa Watani zetu sasa Yanga SC. Kiburi chako cha Pesa na kuwa karibu na 'Mwekezaji' Mo Dewji hasa 'Kimahusiano' yenu kusikufanye nawe ujione ni Tajiri Afrika. CV ya Senzo Mazingisa haitishi tu hapa Tanzania bali hata huko CAF na FIFA pia anatambulika na kuheshimika pia.

Barbara Gonzalez ifuatayo hapa chini ni sehemu ya Uzoefu wa Kiutendaji wa aliyekuwa CEO wa Simba SC Senzo Mazingiza ili ujue kuwa haumpati

1. 2010 South Africa World Cup Coordinator
2. FIFA Confederation Cup 2009 Event Coordinator
3. South Africa Tournament Director
4. PSL Ticketing and Security Committee Director
5. CAF Symposium Delegate Director
6. General Manager at Platinum Stars Football
7. Orlando Pirates Director of Administration
 
Unanikosea heshima mkuu, sio mwanamke mimi.
Hii inaonesha nini umebeba kichwani mwako so hakuna haja ya kubishana na wewe
Ooh sorry mkuu, unajua koment zako zimekaa kike kike sana, anyway kesho ndio mnachukua kombe lenu si ndio ee
 
Asee! Huu ni wivu,husda au kijicho?

CV ndefu ya Senzo haiondoi ukweli kwamba Barbara siyo level ya Senzo.Kila mtu ana uwezo wake.
Kumlazimisha CEO wa Simba akubali kuwa level moja na "mshauri tu" wa yanga,sio sawa hata kidogo.

CEO analinganishwa na ma CEO wenzake.Watanzania acheni akili za ki mediocre zinazotufanya wengi tusifike mbali badala yake tunaishia kuchamba tu katika mitandao
Shule bado zinapokea wanafunzi,wahi.
 
Hivi mwanaume unakuwaje na wivu kwa mwanamke ku date na mwanaume mwingine?Ninyi wanaume wa Dar mna mapungufu gani?

Kwani yeye kuwa pisi ya Mo kama ni kweli inakuuma nini?au ina haja gani kujadili issue personal?
Huyo Marina wa Chelsea na yeye alikua ni pisi ya boss?
 
Msameheni akipata mtu wa kumkuna vizuri atakuwa na adabu.......inawezekana anaweza kuwa kiongozi mzuri kwa mbumbumbu maana hata recruitment yake ya kumpata ni kimemo tu
 
Mimi naendelea kujifunza,ila ninyi wahitimu mbona mnaonekana kujaribu kumshusha mtoto wa kike?
Hamuoni huo ni udhaifu mkubwa sana unawakumba.Imagine mwanaume anakuwa na kijicho hadi anaanza kufikiri kama kasichana kalikovunja ungo!

Shule bado zinapokea wanafunzi,wahi.
 
Nahisi huu uzi ni kwa ajili ya wanaume wa Dar wenye chuki binafsi na Madame CEO,kuwa pisi ya Mo.

Kweli dunia inaenda kasi sana!Wivu huu wa ukewenza umehamia kwa wanaume!
 
Sijawahi kuona mtu anayeitwa mwanaume eti anakaa kumsuta mtoto wa kike kisa tu eti ni pisi ya Mwanaume mwingine!?

Hii ni tabia ya visichana na mashangingi inayosukumwa na wivu wa wao kumkosa mwanaume.Kifupi ni tabia ya kiswahili.

Jaribu kuangalia mwanaume yoyote anayeweza kuwa na muda mchafu kama huo ana tabia zipi.Lazima atakuwa na tabia za kishoga.

Wanaume wa Dar mnajaribu kuteka kila kitu cha mwanamke.Mlianza na Hereni,mkaja kusuka nywele,vidani vya pua,kuvaa blauzi na skin,sasa mmehamia kwa umbea
Mh mbona wanawake mmechachamaa hivi?mnamtetea sana mwenzenu
 
Hivi mwanaume unakuwaje na wivu kwa mwanamke ku date na mwanaume mwingine?Ninyi wanaume wa Dar mna mapungufu gani?

Kwani yeye kuwa pisi ya Mo kama ni kweli inakuuma nini?au ina haja gani kujadili issue personal?
punguza jazba utelembwe.
 
Back
Top Bottom