Barbara Gonzalez CEO wa Simba SC nakukubali kiutendaji, ila acha kumdharau Senzo Mazingisa kwani hujafikia hata 15% tu ya uwezo wake

Aiseee umempiga Genta na kitu kizito kichwani sijui kama ataamka, Una murder case mkuu!
 
Katika pigo ambalo naona utopolo walitupiga ssc ni kumchukua senzo.senzo ni mtu na nusu.
 
Kulinganisha utendaji wa Barbara na Senzo wa sasa ni sawa na kumlinganisha Kagere na Mwamnyeto. Labda ulinganishe ufanisi wao ktk nafasi ya CEO pale simba na kwenye ilo naona Barbara atamuacha mbali Senzo
 
barbara ana kila sababu ya kutaka asifanishwe na senzo. CV yake kitaaluma na kikazi ni kubwa sana.

niwatake utopolo watuletee CV ya senzo, ya barbara hii hapa. ipo public kwa kwenye mtandao wa LinkedIn. yoyote mwenye access ya internet anaweza akaiona.

 

Attachments

  • IMG_20210130_143940.jpg
    82.5 KB · Views: 5
Siyo class yake kwa kweli. Babra ni C.E.O wa simba, senzo ni nani pale yanga? Class yao kiutendaji iko sawa?
 
Sijaona la maana umeongea dhidi ya Barabara kwa senzo hapo

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
angekuwa na cv ya kutisha asingebaki yanga ambayo hata mshahara haimpi
 
Wewe jamaa umeongea utumbo tena utumbo uliooza
 
Una uhakika Senzo alipewa freedom ya kutosha pale simba? Mawazo yake yalitekelezwa kwa kiasi kikubwa!!?
Simba mpaka sasa hamna anaetaka mabadiliko ya kweli na ndio maana sasa hivi wako kwenye mvutano na FCC,na iko ndicho kilichomuondoa senzo pale simba
 
Hii cv haiendani na utendaji wake sasa au alipokuwa SSC. Yupo yupo tu
 
Simba mpaka sasa hamna anaetaka mabadiliko ya kweli na ndio maana sasa hivi wako kwenye mvutano na FCC,na iko ndicho kilichomuondoa senzo pale simba
Mpira unachezwa uwanjani na vikombe vinapatikana kupitia kuucheza mpira. Kama una hela za kuwezesha mpira uchezwe, hayo mabadiliko hata yakija miaka 10 baadaye ni sawa tu. heri hata Simba waliofika hatua hiyo kuliko ambao hata mkutano wa wanachama haujafanyika
 
Naona "wasukuma" wengi hawajaelewa aliposema senzo sio class yake na sio tupe yake.
yuko sahihi sio tupe yake na wala sio vlass yake sasa naona mlioanzisha debate ya nani ni zaidi mmepata loophole ya kushikia...
Mpaka kusema senzo sio type yake[emoji23][emoji23]
Mlitaka aseme ni type yake?
angesema ni tupe yake mngefungua uzi pia...
Wabongo bhana.
 
Tatizo anaongea kiswahili kwa lafudhi ya kizungu basi watu wanaona kama ana dharau...
Yuko sahihi, senzo sio type yake na wala sio class yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…