nkuwi
JF-Expert Member
- Feb 11, 2013
- 4,806
- 5,347
Aiseee umempiga Genta na kitu kizito kichwani sijui kama ataamka, Una murder case mkuu!
Wewe kweli ngo'mbe wa kigogo!! Hata akili za kuelewa kuwa alipata opportunity hizo kwa sababu mashindano ya wordcup yalikuwa yanafanyika kwenye ardhi yao!!
Kama angelikuwa kweli amepafomu vizuri FIFA, isingeshindwa kumtumia tena kwenye shughuli zake!!ni mafanikio gani amepata nje ya nchi yake kiutendaji?!!
Tupe CV yake kabla ya 2008,?!! Niambie ni shughuli gani ambazo amewahi kuwa appointed na FIFA au CAF?!! Ukiondoa zile zilizofanyika uko kwao ambazo nazo sio kwamba FIFA walimpoint, bali ni SAFA.
Tuoneshe ni mafanikio gani amepata,ngazi ya africa, toka awe manager na CEO kwenye ngazi za vilabu uko kwao South Africa, Zimbabwe na pia Tanzania ambako anafanya kazi?! Mwisho tupe CV yake ya elimu ili tuone amesoma wapi na kwa kiwango gani ili tumlinganishe na CEO wa Simbasc?!! Mtu ambae alishindwa kufanya contact hand over!! Kwa mwajiri wake ndio unasema "eti" ni mweledi?!! Unashoboka sana na wageni matapeli nafikili kwasababu huna exposure yeyote zaidi ya kwenda kwenu mpwapwa na kurudi dsm ndio maana unawaona watu, kariba ya mr mazingiza kuwa ni weledi!! Uyo mtu wako kwa taarifa yako ni mweupe kichwani,ungekuwa una hata connection kidogo hapa mjini!! Ungejua kwa nini MO Dewji alianza kumpuuzia!! Kama kweli wewe ni mtoto wa town kama unavyojinasibu!! Uliza kwa nn alishindwa kuweka sawa mkataba wa Simbasc na equity bank!! Mpaka ms babra ndio akaja kuokoa jahazi!! Uyo tapeli wa kizulu ni mweupe kichwani, wajinga kama wewe ndio mnamuona bora kutokana na uelewa wenu mdogo.