Barbara Gonzalez CEO wa Simba SC nakukubali kiutendaji, ila acha kumdharau Senzo Mazingisa kwani hujafikia hata 15% tu ya uwezo wake

Barbara Gonzalez CEO wa Simba SC nakukubali kiutendaji, ila acha kumdharau Senzo Mazingisa kwani hujafikia hata 15% tu ya uwezo wake

Ni nani anamiliki hiki chombo bwana popoma?

Utani.

Sema huyu dada ana uswahili sana ndani yake..
Huyo Senzo mwenyewe naye ni Mswahili Swahili tu kama akina Masau Bwire na wengineo. Juzi hapa alikuwa amepost kwenye twitter 'vijimaneno' vya Kiswahili swahili, Oooh sijui vuvuzela imekuwaje. Hivi CEO anayejielewa anaweza kuandika Utopolo wa aina ile kweli?
 
Ule msemo wa Eymael wa kuwa "Washabiki wa Yanga ni Uneducated" unafanya kazi Vizuri tu hapa kwako.

- Siku zote unapokuwa na CV nzuri unapanda juu na sio kushuka Chini, but Senzo kashuka chini mpaka kufikia kutoka South Afrika kuja Tanzania tena kuwa Mpiga Stori tu wa Yanga kwani position yake pale Yanga hasa haijulikani.

- Katika uhai wake wote huyo Senzo hakuwahi kuwa CEO isipokuwa hiyo position akipata akiwa Simba na akaprove failure, hii manayake hana experience na ubora wowote katika utendaji zaidi ya u-coordinator wa events kama alivyozoea.

- Ukiangalia CV ya Senzo utagundua kumbe ni Coordinator wa Matukio (Events) tu na wala sio Mtendaji, hivyo huyu Senzo ukweli usiofichika ni MC tu labda umpe harusi anaweza kuperform vizuri ukumbini.

- Senzo hakuwahi kuajiriwa na FIFA wala kufanya kazi na FIFA, bali ni Nchi yake ya South Afrika ndiyo iliyompa kazi yake ya kawaida ya kuwa Coordinator (MC) kwenye hayo mashindano jambo ambalo alifail vibaya kwa kutokudhibiti MAVUVUZELA mpaka FIFA wakayapiga Ban na Ulaya wakayazuia yasiingie Viwanjani kwenye Nchi zao.

- Mwisho, B. Gonzalez hajawahi kuwa Coordinator popote pale bali kila alipopiga alikuwa ni Mtendaji na anaperform vizuri ndiyomana hashuki chini bali anapanda juu.

Hivyo musiwe na akili za Kisenzo basi kwani kinachomtesa Senzo ni Elimu, elimu, elimu, hivyo Senzo ni Uneducated kama Nyinyi Washabiki mulivyo.
Huyo mwanamke kaajiliwa lini na Fifa,au yeye kawa lini kiongozi wa events za kimataifa.
 
Tunaomba kuijua elimu ya bwana Senzo
Ya Gonzalez si umeiona hapo?
Hivi mfano Tanzania ikiandaa kombe la dunia, Unadhani kina mwakalebela watakosekana kwenye kamati ya maandalizi?
Nyie Simba mlimuajili kwa cv zipi
 
Tatizo nyie waswahili maneno mengi tena matupu.
Siku zote uwezo wa mtu unapimwa kwa performance sio kwa miaka aliyokuwemo kwenye fan. Ukipima performance ya CEO wa simba na huyo mshauri wa Yanga, utaelewa kwann Man u pamoja na ku ajiri majina makubwa ya mameneja ilishindwa kurudi on top. Junior Ole Guna ndo kaja kuirudisha on top pamoja na kudharauliwa na watu kuwa hana uwezo. Last year on top 4 this year anautafuta ubingwa.

Inawezekana huyo Senzo alikuwa na performance huko enzi hizo. Lakin soko na mazingira ya sasa yamemtupa mkono. Akina Barbara watam outsmart tu.

Ndio soko na demand ya soka inavyokwenda. Tukaneni tu then mtaelewa tu baadae. Mtajua kuwa kati ya Kitimoto na ngombe nani anatoa nyama iliyonona na inayopendwa sokon.
Kipindi Simba anafika robo finalise Champions 🏆, CEO alikuwa nani unataka mafanikio yapi zaidi ya hayo.? Mkuu.
 
Barbra yupo sahihi, huwezi fananishwa na mtu ambaye hampo level moja, ebu anayefaham cheo cha Senzo pale Yanga aniambia ana cheo gan na ofc yake ipo wap?

Barbra anafahamika ni CEO pale Simba, Senzo ni nani pale Yanga?
 
Mimi ni mwanayanga. Ila nachoona hapa ni chuki binafsi na mfumo dume. Barbara kufika alipofika ni uwezo.tuacheni udaku kwa wanaume si jambo zuri. Ana mahusiano yapi na Mo? Huu uandishi wa insta na fb mnapoleta JF kuja dhalilisha jinsia sijambo jema. Kuna siku mama yako atachaguliwa nafasi flani kwa uwezo wake. Then feel watu wakijasema amechaguliwa sababu ana mahusiano ya kimapenzi na aliyemchagua. Sidhani kam ni sahihi ikiwa hamna uthibitisho. Achen utoto kwenye mambo ya msingi.
 
Babra amemzidi Senzo elimu, hana elimu ya kuungaunga kama kina sisi.
Hivi mliwahi jiuliza kilichomtoa huyo Senzo huko kwao mpaka aka apply kazi Simba?
Senzo is Overrated, amekuwepo simba hatukuona maajab yoyote simba ilibaki kuwa ile ile.
Kuhusu senzo kuwa na CV kubwa, je hiyo CV ndo inayofanya kazi?
Kwasababu senzo ana CV kubwa ina maana watu wengine hawaruhusiwi kujenga CV zao?
Hivi Unadhani kuwa Assistant wa bilionea ni kitu rahisi? Lazima ana uwezo mkubwa ila atapingwa sana sababu ya jinsia yake.
Yule aliyekuwa CEO wa Simba bwana Magori leo amesema kwamba Simba kocha hana nafasi ya kusajili wachezaji.

Unategemea mtu Professional atakaa kwenye genge la wahuni kama hao?
 
Huyu dada ananyambulika vizuri zaidi ya senzo
1.Anajua mahusiano ya kitaifa na kimataifa

2.Anaongea vizuri kireno, kiingereza, kifarasa na kiswahili
 
Yule aliyekuwa CEO wa Simba bwana Magori leo amesema kwamba Simba kocha hana nafasi ya kusajili wachezaji.

Unategemea mtu Professional atakaa kwenye genge la wahuni kama hao?
Professional nani?
Huyu aliyekimbia baada ya kushindwa kukamilisha yaliyomleta?
 
Mimi ni mwanayanga. Ila nachoona hapa ni chuki binafsi na mfumo dume. Barbara kufika alipofika ni uwezo.tuacheni udaku kwa wanaume si jambo zuri. Ana mahusiano yapi na Mo? Huu uandishi wa insta na fb mnapoleta JF kuja dhalilisha jinsia sijambo jema. Kuna siku mama yako atachaguliwa nafasi flani kwa uwezo wake. Then feel watu wakijasema amechaguliwa sababu ana mahusiano ya kimapenzi na aliyemchagua. Sidhani kam ni sahihi ikiwa hamna uthibitisho. Achen utoto kwenye mambo ya msingi.
Ameteuliwa kuwa CEO kupitia mchakato gani?

Au simba ni mali ya Mwamedi?
 
Ameteuliwa kuwa CEO kupitia mchakato gani?

Au simba ni mali ya Mwamedi?
Hata ikiwa mali yake nadhani si jambo baya. We unamiliki nini? Senzo tunaye yanga ana nafasi gani? Ilitumika njia gani kumpa nafasi hiyo? Mi nadhani Yanga tuachane na wivu wa kike. Ni aibu kwa wanaume kukaa na wivu,husda na kijiba. Huyu dada kwa kweli ame ibrand sana Simba. Sana. Kwetu senzo apewe cha kufanya.

Simba chini ya Mo imenawiri na ndo kinachotuumiza sisi Yanga. Tunabaki hangaika. Tumesahau miaka ya Manji alikuwa ameifanya team yake akihudumia kila kitu.
 
Mbona CV yake ni kubwa ni ya Event organization? (Labda ndio maana kaorganize marathon), lakin kiutendaji ni Orlando na Plantinum ambapo hakupata mafanikio ya maana. Kwa Simba Gonzalez amepata mafanikio makubwa kulikov Senzo, hilo halina ubishi. Kuhusu mahusiano ya kimapenzi imani yangu imenifunga kwa vile sijawahi kushuhudia na wala sina ushahidi na hilo. Ni vema tukasikiliza interview yote badala ya kuchagua ka nusu sentensi na kukaanzishia nyuzi. Kuna mambo mengi ya maana ya football development ameyaongea but sisi tunapenda zaidi football politics ndio maana 99% ya yalioongelewa (football development) yameachwa kabisa na 01% ndio yamekua mjadala. GENTAMYCINE the big fella, you are so better than this.

Sent using Jamii Forums mobile app
Usimba na Uyanga usikutoe kwenye uwezo wako wakawaida wa kufikiri. Yaani serious Gonzalez kamzidi Senzo kimafanikio hapo Simba?
 
Mudy anafaidi jamani hata kama mimi ningekuwa mkude nisingevumilia
DSC_0153.jpg
DSC_0154.jpg
DSC_0152.jpg
DSC_0148.jpg
DSC_0149.jpg
 
Back
Top Bottom