Barbara Gonzalez Kesi yako Binafsi uliyofunguliwa inahusiana vipi na Taasisi ya Simba SC? Acha kutafuta Huruma ya Simba SC

Tangu ujue neno Simba uliwahi hata kutoa sent tano kwenye club pmj na kujinasibu eti kindakindaki wa Simba?
 
kesi ameipata akiwa anatekeleza majukumu ya kila siku ya klabu sasa vipi ajitenganishe na ssc

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nikiwa ni Mfanyakazi wa Kampuni X kisha nikakutukana Wewe Mfanyakazi wa Kampuni Y ambapo Wote tunatekeleza Majukumu yetu Matusi ya Nguoni.

Je, hapo ukiamua Kunifungulia Kesi ya Kukutukana itakuwa inanihusu GENTAMYCINE kama Mimi Binafsi au itamuhusisha GENTAMYCINE na Taasisi yangu X? Kwahiyo Boss wangu wa Kampuni X ndiyo alinituma nitukane Tusi hilo la Nguoni?

Huna kweli Akili Wewe hebu nitokee hapa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tangu ujue neno Simba uliwahi hata kutoa sent tano kwenye club pmj na kujinasibu eti kindakindaki wa Simba?
Pumbavu ukitaka kujua nimeifanyia nini Simba SC mtafute Mshauri Mkuu Magori au Kocha Msaidizi Matola au aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kuwa GENTAMYCINE na 'Mafia' Wenzangu Wawili tuliwafanyia nini Viongozi wa AS Vita tulipowafunga 'Kimafia' kwa Mkapa baada ya Daktari wao kuchukua 'Sample' ya Maji tuliyoyapulizia Dawa ambayo walitaka kuyapeleka CAF na Simba SC yako mpaka Tanzania yako ingekumbwa na Rungu Kubwa la Adhabu.

Nenda pale JNIA ukawaulize wale Wafanyakazi tulichowafanyia wale Viongozi wa AS Vita hadi tukaichomoa ile Chupa wasiondoke nayo na Kuwachelewesha hadi Kusafiri huku Maafisa Vipenyo Wawili ( Mmoja ni Mdada ) wa Uwanjani pale wakitupa Ushirikiano wao.

Ukimaliza mtafute Juma Nkamia ( Mtani wangu wa Kirangi ) na Kassim Dewji kisha waulize nilifanya nao Kufuru gani pale Uwanja wa Uhuru ( Shamba la Bibi ) Simba SC ilipocheza na Club Ismailia sawa?

Mpuuzi mkubwa Wewe kaa mbali nami.
 
mkuu umeandika kitu cha maana sana, babra ni kirusi hatari sana ndani ya simba, mahusiano yake na boss ndo yanafanya club ipitie wakati mgum mpaka sasa, ndani ya uongozi kishavurugana na kila mtu na ilipaswa aondolewe mapema lkn mahusiano yake na boss ndo yanamlinda, bila kumuondoa babra, simba itaendelea kupitia wakati mgum zaidi.
 
Upuuuzuzi mtupu!! Uzi umeandikwa na mpuuuzi kupindukia halafu utoh ndo wanafurahi na kucheka hadi wanagalagala. wanafikiri kwa maneno ya mpuzi mmoja huyu(kibwenguhuyu) ndo simba itatetereka!! simba itabaki kuwa simba haiwezi simba ikategemea mihemuko na uchawi wako ili ishinde!! Nyie ndo mnasubiri simba iteleze kidogo tu halafu ndo ulete utumbo wako hapa.. kichwa cha habari kinahusu babra lkn unaongea meengi ka umetoka.....
 
Kama haya yana ukweli, basi ile kwa Mkapa hatoki mtu ilikuwa ni mbinu za nje ya uwanja na sio kingine zaidi. Na nyuma ya pazia kuna siri kubwa sana
 
Pumba. Wewe ndiye mvurugaji halisi wa simba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…