Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Huyu ni shabiki lia-lia wa simba maoni yake tu ni mchango mkubwa kwa club yenu.Tangu ujue neno Simba uliwahi hata kutoa sent tano kwenye club pmj na kujinasibu eti kindakindaki wa Simba?
Mudi sasa akupandishe cheo uwe mke mkubwa sio kwa kazi hii unayomfanyia.Tatizo unaongea sana,unakuwa kama vuvuzela linalopulizwa na mwehu. umekuwa kama demu wa kizaramo humu JLS
Wale watoto familia yake walitumwa na Simba SC?Samahan wana simba na wanamichezo wenzangu labda mimi ndo sielewi hivi wakati ule anapishana maneno na wale maafisa wa tff na bodi ya ligi hakuwa kweny majukumu yake ya u-CEO??? Navojua kila mahali timu inakoenda kucheza ni mhimu na lazima na yy madam awepo ili kuwa karibu na timu na kuleta morari kwa wachezaji na hata bench la ufundi kusema kuwa ni kesi yake binafsi asiihusishe wala kuiingiza simba na kuomba huruma kwa wanasimba naona sio sawa kwani yy ni simba na ni yy kama ambavo simba ni ss na ss ni simba.
Ko simba walimtuma amtukane yule dada?Samahan wana simba na wanamichezo wenzangu labda mimi ndo sielewi hivi wakati ule anapishana maneno na wale maafisa wa tff na bodi ya ligi hakuwa kweny majukumu yake ya u-CEO??? Navojua kila mahali timu inakoenda kucheza ni mhimu na lazima na yy madam awepo ili kuwa karibu na timu na kuleta morari kwa wachezaji na hata bench la ufundi kusema kuwa ni kesi yake binafsi asiihusishe wala kuiingiza simba na kuomba huruma kwa wanasimba naona sio sawa kwani yy ni simba na ni yy kama ambavo simba ni ss na ss ni simba.
Imeshavurugwa na 'Kubaiolojiana' Kwao Mwekezaji na CEO ila kwa Upumbavu wako ulionao wa Kurithishwa hili hujaliona au kuligundua.acha kuivuruga timu wewe
Na nina bahati mbaya moja huwa siyo Mnafiki, sipendi Unafiki
75% ya Ushindi wa Simba SC hasa katika CAF CL Msimu uliopita licha ya Maandalizi ya Kikosi chetu ila Umafia hasa wa kutumia Dawa za Kupulizia Vyumbani ( Watu wa Mpira tunaiita 4-4-2 ) ili Kuwavunja Nguvu Wapinzani ilitumika sana na hasa katika Vipindi vya Pili vya Mpira.Kama haya yana ukweli, basi ile kwa Mkapa hatoki mtu ilikuwa ni mbinu za nje ya uwanja na sio kingine zaidi. Na nyuma ya pazia kuna siri kubwa sana
Jibu hoja zake kwa hoja.Upuuuzuzi mtupu!! Uzi umeandikwa na mpuuuzi kupindukia halafu utoh ndo wanafurahi na kucheka hadi wanagalagala. wanafikiri kwa maneno ya mpuzi mmoja huyu(kibwenguhuyu) ndo simba itatetereka!! simba itabaki kuwa simba haiwezi simba ikategemea mihemuko na uchawi wako ili ishinde!! Nyie ndo mnasubiri simba iteleze kidogo tu halafu ndo ulete utumbo wako hapa.. kichwa cha habari kinahusu babra lkn unaongea meengi ka umetoka.....
Na wanaokatiana Viuno 24/7 Mwekezaji na CEO wao siyo Wavurugaji Kwako / Kwenu? Wanafiki na Wapumbavu wakubwa nyie. Leo nimemtolea Uvivu na napiga pale pale ili muumie vizuri.Pumba. Wewe ndiye mvurugaji halisi wa simba.
Nimemsikia Babra akihojiwa na Kitenge baada ya kutoka lock up anaongea kiswahili kilichonyooka vizuri tu kama mzaramo.Barbara anataka kujipata mzungu kwenye nchi ya waswahili...
Simba na Yanga huwa hazina mambo ya kizungu zungu, Barbara atapambana na hali yake...
Chezea Polisi ( Mandata ) Wewe Mkuu!!!Nimemsikia akihojiwa na Kitenge baada ya kutoka lock up anaongea kiswahili kilichonyooka vizuri tu kama mzaramo.
Vile vingereza vya kusahau maneno ya kiswahili vilikaa pembeni kwa muda.
75% ya Ushindi wa Simba SC hasa katika CAF CL Msimu uliopita licha ya Maandalizi ya Kikosi chetu ila Umafia hasa wa kutumia Dawa za Kupulizia Vyumbani ( Watu wa Mpira tunaiita 4-4-2 ) ili Kuwavunja Nguvu Wapinzani ilitumika sana na hasa katika Vipindi vya Pili vya Mpira.
Nimeshiriki kufanya hivyo katika Mechi moja ya mwanzo kwa Maelekezo ya Bingwa wa Umafia Kapteni wa zamani wa JWTZ ( Marehemu ) Zacharia Hanspoppe na nitashangaa Mtu wa Simba SC akilibishia hili.