Barbara Gonzalez Kesi yako Binafsi uliyofunguliwa inahusiana vipi na Taasisi ya Simba SC? Acha kutafuta Huruma ya Simba SC

Samahan wana simba na wanamichezo wenzangu labda mimi ndo sielewi hivi wakati ule anapishana maneno na wale maafisa wa tff na bodi ya ligi hakuwa kweny majukumu yake ya u-CEO??? Navojua kila mahali timu inakoenda kucheza ni mhimu na lazima na yy madam awepo ili kuwa karibu na timu na kuleta morari kwa wachezaji na hata bench la ufundi kusema kuwa ni kesi yake binafsi asiihusishe wala kuiingiza simba na kuomba huruma kwa wanasimba naona sio sawa kwani yy ni simba na ni yy kama ambavo simba ni ss na ss ni simba.
 
Tatizo unaongea sana,unakuwa kama vuvuzela linalopulizwa na mwehu. umekuwa kama demu wa kizaramo humu JLS
 
Samahan wana simba na wanamichezo wenzangu labda mimi ndo sielewi hivi wakati ule anapishana maneno na wale maafisa wa tff na bodi ya ligi hakuwa kweny majukumu yake ya u-CEO??? Navojua kila mahali timu inakoenda kucheza ni mhimu na lazima na yy madam awepo ili kuwa karibu na timu na kuleta morari kwa wachezaji na hata bench la ufundi kusema kuwa ni kesi yake binafsi asiihusishe wala kuiingiza simba na kuomba huruma kwa wanasimba naona sio sawa kwani yy ni simba na ni yy kama ambavo simba ni ss na ss ni simba.
Wale watoto familia yake walitumwa na Simba SC?
Barbra ni CEO lakini akikosea ataadhibiwa yeye na sio Klabu.
 
Samahan wana simba na wanamichezo wenzangu labda mimi ndo sielewi hivi wakati ule anapishana maneno na wale maafisa wa tff na bodi ya ligi hakuwa kweny majukumu yake ya u-CEO??? Navojua kila mahali timu inakoenda kucheza ni mhimu na lazima na yy madam awepo ili kuwa karibu na timu na kuleta morari kwa wachezaji na hata bench la ufundi kusema kuwa ni kesi yake binafsi asiihusishe wala kuiingiza simba na kuomba huruma kwa wanasimba naona sio sawa kwani yy ni simba na ni yy kama ambavo simba ni ss na ss ni simba.
Ko simba walimtuma amtukane yule dada?
 
Kama haya yana ukweli, basi ile kwa Mkapa hatoki mtu ilikuwa ni mbinu za nje ya uwanja na sio kingine zaidi. Na nyuma ya pazia kuna siri kubwa sana
75% ya Ushindi wa Simba SC hasa katika CAF CL Msimu uliopita licha ya Maandalizi ya Kikosi chetu ila Umafia hasa wa kutumia Dawa za Kupulizia Vyumbani ( Watu wa Mpira tunaiita 4-4-2 ) ili Kuwavunja Nguvu Wapinzani ilitumika sana na hasa katika Vipindi vya Pili vya Mpira.

Nimeshiriki kufanya hivyo katika Mechi moja ya mwanzo kwa Maelekezo ya Bingwa wa Umafia Kapteni wa zamani wa JWTZ ( Marehemu ) Zacharia Hanspoppe na nitashangaa Mtu wa Simba SC akilibishia hili.
 
Upuuuzuzi mtupu!! Uzi umeandikwa na mpuuuzi kupindukia halafu utoh ndo wanafurahi na kucheka hadi wanagalagala. wanafikiri kwa maneno ya mpuzi mmoja huyu(kibwenguhuyu) ndo simba itatetereka!! simba itabaki kuwa simba haiwezi simba ikategemea mihemuko na uchawi wako ili ishinde!! Nyie ndo mnasubiri simba iteleze kidogo tu halafu ndo ulete utumbo wako hapa.. kichwa cha habari kinahusu babra lkn unaongea meengi ka umetoka.....
Jibu hoja zake kwa hoja.
Mahaba ya team zetu yasitupe upofu.
 
Pumba. Wewe ndiye mvurugaji halisi wa simba.
Na wanaokatiana Viuno 24/7 Mwekezaji na CEO wao siyo Wavurugaji Kwako / Kwenu? Wanafiki na Wapumbavu wakubwa nyie. Leo nimemtolea Uvivu na napiga pale pale ili muumie vizuri.

Kama ambavyo mlikuwa mkishangilia kila mara GENTAMYCINE ninapoisema na Kuichafua Yanga SC kwa Propaganda zangu za Kitaaluma hapa JamiiForums na leo muwe Wapole tena ikiwezekana mshangilie zaidi kwani nawasaidia kuyajua mengi yaihusuyo Simba SC kwa sasa ambayo Wapuuzi ( Hayawani ) nyie hamuyajui.
 
Barbara anataka kujipata mzungu kwenye nchi ya waswahili...

Simba na Yanga huwa hazina mambo ya kizungu zungu, Barbara atapambana na hali yake...
Nimemsikia Babra akihojiwa na Kitenge baada ya kutoka lock up anaongea kiswahili kilichonyooka vizuri tu kama mzaramo.
Vile vingereza vya kujisahaulisha maneno ya kiswahili vilikaa pembeni kwa muda.
 
75% ya Ushindi wa Simba SC hasa katika CAF CL Msimu uliopita licha ya Maandalizi ya Kikosi chetu ila Umafia hasa wa kutumia Dawa za Kupulizia Vyumbani ( Watu wa Mpira tunaiita 4-4-2 ) ili Kuwavunja Nguvu Wapinzani ilitumika sana na hasa katika Vipindi vya Pili vya Mpira.

Nimeshiriki kufanya hivyo katika Mechi moja ya mwanzo kwa Maelekezo ya Bingwa wa Umafia Kapteni wa zamani wa JWTZ ( Marehemu ) Zacharia Hanspoppe na nitashangaa Mtu wa Simba SC akilibishia hili.

Pamoja na Mimi kutompenda yule dada pale Simba SC na Mimi namuona Kama kirusi ndani ya Simba, lakini haya ulioandika sio kweli. Kumnenea uongo hadi marehemu sio vizuri. Kama kweli wewe ni shabiki na mwanachama wa Simba ungemtunzia heshima yake hanspope na hakustahili dhihaka Kama hii.

Kama umeamua kumshambulia Barbra mshambulie yeye, sio unaishambulia Simba yote, Mara unaita mashabiki wa Simba mashoga, Mara umshambulie Dewji na nk. Yani mdomoni unaipenda Simba lakini moyoni unaichukia Sana Simba.
 
Naona moderators watapita na burn za kutosha kwny huu uzi
 
Back
Top Bottom