Barbara Gonzalez na Tamaa ya Umaarufu

Barbara Gonzalez na Tamaa ya Umaarufu

Huyu Binti atawaharibu kinoma pae Msimbazi.

Watu wengi waluo wahi fanya naye kazi wanasema bi mdada anapenda attention mithili ya samaki apendavyo Maji. Tangu aingie pale Klabuni amekuwa na wivu na namna Senzo anavyo zungumziwa sana na Media. Akafanya figisu zake Senzo akasepa.

Bado ikaonekana haitoshi, Media nyingi za Bongo zikawa zinaendelea kummulika Haji Manara. Kitendo hiko kimekuwa kikimkosesha sana raha kwa kipindi cha muda mrefu. Maana lengo lake kuu ni kuwa mtu maarufu pale Msimbazi kuliko mtu yeyote yule.

Sasa hivi anamchokonoa Manara, akijua wazi kabisa Manara akisepa sasa Luninga, TV na Redio zote zinakuwa zikimuangazia yeye tu.

Ninavyo ona huyu Binti atakinukisha sana pale Msimbazi, Itafika mahapa ili kuiokoa klabu Mo atatakiwa achague kati ya Mapenzi na Kabu.

Nasikia De la Boss ameahidi kama akifungwa na Yanga SC hapo tarehe 25 basi atatumia kichaka cha skendo ya Barbara na kuwaachia timu yako.

Ama kweli uhai wa mabadiliko kwenye timu yao bado unashikiliwa na watu wachache wenye nguvu nyingi.
Huyu dada anaandamwa sana na watu wanaotaka ten percent pale Simba.

Nchi ya wezi haiwezi heshimu weledi wa watu.
 
Yaani hapa muweke Manara hapa Barbraa..halafu ipigwe kura..mapema tu huyo dada anaomdoka.
Hahahahah ikiwekwa poll Barbra anafungasha virango kabla ya jua kuzama!

Manara ni mwamba kwa sekta ya amsha amsha ama P.A jamaa hata kama vyeti hana ila kipaji chake ni dhahiri! Anaweza kumfanya paka akawa simba kwa mdomo tu. Hata wakimuondoa Simba hawezi kufa njaa sababu makampuni mengi yameshaona uwezo wake jamaa! Utashangaa kakwapuliwa na Sport pesa kwa dau la nguvu!

Manara anaipenda Simba from heart na anaijua historia yake! Ogopa sana mtu anayefanya kitu kwa passion😅😅😅 daima hawezi feli hata kiwe kigumu vipi!
 
Kama una akili ya uchambuzi utaona wazi baada ya Babra kuingia Manara hana nafasi kabisa.
Relation maneja lazma awe na marketing skills na qualifications. Manara hana na amebaki kutumia mission town na ujanja ujanja. Msemaji domodomo hahitajiki kwenye mfumo wa corporate club.
Nilisema mwaka jana Manara aondoke vinginevyo ataondoka kwa aibu kubwa.
Hii ni akili ambayo ndio imetufikisha leo ambapo mtu ana degree ila hata kujieleza hawezi! Mshaanza mambo ya vyeti wakati uwezo wa mtu mnauona!

Mie nina hizo marketing skills ila passion na mpira sina ukiniweka pale ntaonekana kilaza mapema mno!😅😅😅
 
Yeye kasema analipwa mia7
Sikiliza vyema ile Clip! Amesema alijitoa akawa anafanya kazi mda mrefu tu analipwa 700k bila mkataba! Thats on the Past tense implying kwamba Simba ametoka nayo mbali kabla hata babra hajaja!

Sasa kwa maisha ya sasa ya Manara ni maisha ya mtu wa kulipwa laki 7 yale?
 
Hahahahah ikiwekwa poll Barbra anafungasha virango kabla ya jua kuzama!

Manara ni mwamba kwa sekta ya amsha amsha ama P.A jamaa hata kama vyeti hana ila kipaji chake ni dhahiri! Anaweza kumfanya paka akawa simba kwa mdomo tu. Hata wakimuondoa Simba hawezi kufa njaa sababu makampuni mengi yameshaona uwezo wake jamaa! Utashangaa kakwapuliwa na Sport pesa kwa dau la nguvu!

Manara anaipenda Simba from heart na anaijua historia yake! Ogopa sana mtu anayefanya kitu kwa passion[emoji28][emoji28][emoji28] daima hawezi feli hata kiwe kigumu vipi!
Kuna mdau hapo juu amesema manara nafasi inayomfaa ni ya uongozi katika ushangiliaji. Public Administration sio kazi ya kupiga kelele ina mambo mengi ndani yake kwahiyo hiyo position uliyompa haimfai
 
Sawa awe MC wa simba basi ila alipwe malipo yake kila siku ya Simba inapocheza malipo yasiopungua 1.5M taslim kama Ma MC wengine wanavyolipwa mjini na katika matukio yeyote ya Club alipwe ujira wake maana kazi anayoifanya tunaiona hatuhitaji vyeti vya degree kuitambua impact ya Manara katika simba.

Nikiri tu sikuwahi kuwa mshabiki wa mpira na wala sikuwahi kupenda mpira ila nimedevelop ushabiki kwa influence ya Manara! Deep down sijui formalities zozote za mpira ila simba ikicheza nashangilia😅
 
Sawa awe MC wa simba basi ila alipwe malipo yake kila siku ya Simba inapocheza malipo yasiopungua 1.5M taslim kama Ma MC wengine wanavyolipwa mjini na katika matukio yeyote ya Club alipwe ujira wake maana kazi anayoifanya tunaiona hatuhitaji vyeti vya degree kuitambua impact ya Manara katika simba.

Nikiri tu sikuwahi kuwa mshabiki wa mpira na wala sikuwahi kupenda mpira ila nimedevelop ushabiki kwa influence ya Manara! Deep down sijui formalities zozote za mpira ila simba ikicheza nashangilia[emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23] MC wa simba is perfect.
Yani wewe umependa mpira kisa mdomo wa manara. Kwahiyo manara akistaafu kuongea na wewe ushabiki utastaafu. [emoji38]
 
Hivi manara anajua kimalikia kweli?
Naona hyo nafasi imemzidi uwezo afisa habari wa Simba daily kutukana Utopolo huo ni wastage of time, hafu kupata matangazo ya GSM Utopolo kavimba kichwa mi naona apumzike ili afanye vizuri Mambo yake personal
Manara kazaliwa Uholanzi wakati baba yake Anacheza mpira huko, kaishi sana ulaya utotoni
 
Huyu Binti atawaharibu kinoma pae Msimbazi.

Watu wengi waluo wahi fanya naye kazi wanasema bi mdada anapenda attention mithili ya samaki apendavyo Maji. Tangu aingie pale Klabuni amekuwa na wivu na namna Senzo anavyo zungumziwa sana na Media. Akafanya figisu zake Senzo akasepa.

Bado ikaonekana haitoshi, Media nyingi za Bongo zikawa zinaendelea kummulika Haji Manara. Kitendo hiko kimekuwa kikimkosesha sana raha kwa kipindi cha muda mrefu. Maana lengo lake kuu ni kuwa mtu maarufu pale Msimbazi kuliko mtu yeyote yule.

Sasa hivi anamchokonoa Manara, akijua wazi kabisa Manara akisepa sasa Luninga, TV na Redio zote zinakuwa zikimuangazia yeye tu.

Ninavyo ona huyu Binti atakinukisha sana pale Msimbazi, Itafika mahapa ili kuiokoa klabu Mo atatakiwa achague kati ya Mapenzi na Kabu.

Nasikia De la Boss ameahidi kama akifungwa na Yanga SC hapo tarehe 25 basi atatumia kichaka cha skendo ya Barbara na kuwaachia timu yako.

Ama kweli uhai wa mabadiliko kwenye timu yao bado unashikiliwa na watu wachache wenye nguvu nyingi.
Waswahili hamtakagi wasomi au mambo kuendeshwa katika mifumo. Mnatafuta nafasi za upigaji zikizibwa chokoo ndio zinaanza. Huyu dada ni mahiri, shujaa na ambaye si kaipaisha Simba kimataifa zTanzania hali kadhalika. Huyo manara akipewa nafasi ya mtendaji mkuu ataiweza? Hata hivyo timu ni mali ya Mo tusubiri mwenye mali ataona ni nani mwenye maslahi na kampuni yake kwa sasa maana kwa hali hii lazima mmoja aondoke
 
Hahahahah ikiwekwa poll Barbra anafungasha virango kabla ya jua kuzama!

Manara ni mwamba kwa sekta ya amsha amsha ama P.A jamaa hata kama vyeti hana ila kipaji chake ni dhahiri! Anaweza kumfanya paka akawa simba kwa mdomo tu. Hata wakimuondoa Simba hawezi kufa njaa sababu makampuni mengi yameshaona uwezo wake jamaa! Utashangaa kakwapuliwa na Sport pesa kwa dau la nguvu!

Manara anaipenda Simba from heart na anaijua historia yake! Ogopa sana mtu anayefanya kitu kwa passion😅😅😅 daima hawezi feli hata kiwe kigumu vipi!
Kweli kabisa Mkuu
 
Manara si ndiyo Yule mzungu aliyemtishia mwandishi wa Clouds, Yule anaongea sanaaaaaaaa utadhani tumboni kwake Kuna walokole wananena kwa lugha?
kumbe analipwa 7k na ni deiwaka..
Mwarabu toleo la mwisho kabanwa kunako.. Na mchepuko wa mudi.
Screenshot_20210703-202629.jpg
 
Huyu Binti atawaharibu kinoma pae Msimbazi.

Watu wengi waluo wahi fanya naye kazi wanasema bi mdada anapenda attention mithili ya samaki apendavyo Maji. Tangu aingie pale Klabuni amekuwa na wivu na namna Senzo anavyo zungumziwa sana na Media. Akafanya figisu zake Senzo akasepa.

Bado ikaonekana haitoshi, Media nyingi za Bongo zikawa zinaendelea kummulika Haji Manara. Kitendo hiko kimekuwa kikimkosesha sana raha kwa kipindi cha muda mrefu. Maana lengo lake kuu ni kuwa mtu maarufu pale Msimbazi kuliko mtu yeyote yule.

Sasa hivi anamchokonoa Manara, akijua wazi kabisa Manara akisepa sasa Luninga, TV na Redio zote zinakuwa zikimuangazia yeye tu.

Ninavyo ona huyu Binti atakinukisha sana pale Msimbazi, Itafika mahapa ili kuiokoa klabu Mo atatakiwa achague kati ya Mapenzi na Kabu.

Nasikia De la Boss ameahidi kama akifungwa na Yanga SC hapo tarehe 25 basi atatumia kichaka cha skendo ya Barbara na kuwaachia timu yako.

Ama kweli uhai wa mabadiliko kwenye timu yao bado unashikiliwa na watu wachache wenye nguvu nyingi.
Kipaji cha umbea unacho hongera aisee.
 
Kanuni ni moja tu usishindane na MTU asiye weza kukuzuru.
 
Huyo baraba anajivunia sana kapochi manyoya kake wakati hakana tofauti na vile vya wahaya wa buganguzi & nshamba
 
Manara alijisahau, akili zake zinafanana na Nape aliyedai aliitoa ccm wakati kuna vyama vingine anashindwa kwenda anabaki CCM. Siku simba inapewa kombe badala ya kuiongelea Simba anaipigia promo Azam anashindwa kutenganisha mambo yake binafsi na nafasi yake kama msemaji wa Simba. Anasema amekuza brand ya Simba aende sehemu nyingine tuone kama atakuwa maarufu. Vilabu vya Simba na Yanga ni maarufu kuliko hawa watu wa kupita. Kamam mshahara wake ni mdogo kuna mtu alimlazimisha kufanya kazi Simba.
 
Manara si ndiyo Yule mzungu aliyemtishia mwandishi wa Clouds, Yule anaongea sanaaaaaaaa utadhani tumboni kwake Kuna walokole wananena kwa lugha?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom