Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu dada anaandamwa sana na watu wanaotaka ten percent pale Simba.Huyu Binti atawaharibu kinoma pae Msimbazi.
Watu wengi waluo wahi fanya naye kazi wanasema bi mdada anapenda attention mithili ya samaki apendavyo Maji. Tangu aingie pale Klabuni amekuwa na wivu na namna Senzo anavyo zungumziwa sana na Media. Akafanya figisu zake Senzo akasepa.
Bado ikaonekana haitoshi, Media nyingi za Bongo zikawa zinaendelea kummulika Haji Manara. Kitendo hiko kimekuwa kikimkosesha sana raha kwa kipindi cha muda mrefu. Maana lengo lake kuu ni kuwa mtu maarufu pale Msimbazi kuliko mtu yeyote yule.
Sasa hivi anamchokonoa Manara, akijua wazi kabisa Manara akisepa sasa Luninga, TV na Redio zote zinakuwa zikimuangazia yeye tu.
Ninavyo ona huyu Binti atakinukisha sana pale Msimbazi, Itafika mahapa ili kuiokoa klabu Mo atatakiwa achague kati ya Mapenzi na Kabu.
Nasikia De la Boss ameahidi kama akifungwa na Yanga SC hapo tarehe 25 basi atatumia kichaka cha skendo ya Barbara na kuwaachia timu yako.
Ama kweli uhai wa mabadiliko kwenye timu yao bado unashikiliwa na watu wachache wenye nguvu nyingi.
Hahahahah ikiwekwa poll Barbra anafungasha virango kabla ya jua kuzama!Yaani hapa muweke Manara hapa Barbraa..halafu ipigwe kura..mapema tu huyo dada anaomdoka.
Hii ni akili ambayo ndio imetufikisha leo ambapo mtu ana degree ila hata kujieleza hawezi! Mshaanza mambo ya vyeti wakati uwezo wa mtu mnauona!Kama una akili ya uchambuzi utaona wazi baada ya Babra kuingia Manara hana nafasi kabisa.
Relation maneja lazma awe na marketing skills na qualifications. Manara hana na amebaki kutumia mission town na ujanja ujanja. Msemaji domodomo hahitajiki kwenye mfumo wa corporate club.
Nilisema mwaka jana Manara aondoke vinginevyo ataondoka kwa aibu kubwa.
Kabla ya mkataba alikuwa anakula 700k ila baada ya kutiwa mkataba sahizi huenda anakula hata 2MKumbe Manara kelele zote zile analipwa Laki7 [emoji23]
Yeye kasema analipwa mia7Kabla ya mkataba alikuwa anakula 700k ila baada ya kutiwa mkataba sahizi huenda anakula hata 2M
Sikiliza vyema ile Clip! Amesema alijitoa akawa anafanya kazi mda mrefu tu analipwa 700k bila mkataba! Thats on the Past tense implying kwamba Simba ametoka nayo mbali kabla hata babra hajaja!Yeye kasema analipwa mia7
Kuna mdau hapo juu amesema manara nafasi inayomfaa ni ya uongozi katika ushangiliaji. Public Administration sio kazi ya kupiga kelele ina mambo mengi ndani yake kwahiyo hiyo position uliyompa haimfaiHahahahah ikiwekwa poll Barbra anafungasha virango kabla ya jua kuzama!
Manara ni mwamba kwa sekta ya amsha amsha ama P.A jamaa hata kama vyeti hana ila kipaji chake ni dhahiri! Anaweza kumfanya paka akawa simba kwa mdomo tu. Hata wakimuondoa Simba hawezi kufa njaa sababu makampuni mengi yameshaona uwezo wake jamaa! Utashangaa kakwapuliwa na Sport pesa kwa dau la nguvu!
Manara anaipenda Simba from heart na anaijua historia yake! Ogopa sana mtu anayefanya kitu kwa passion[emoji28][emoji28][emoji28] daima hawezi feli hata kiwe kigumu vipi!
Sawa awe MC wa simba basi ila alipwe malipo yake kila siku ya Simba inapocheza malipo yasiopungua 1.5M taslim kama Ma MC wengine wanavyolipwa mjini na katika matukio yeyote ya Club alipwe ujira wake maana kazi anayoifanya tunaiona hatuhitaji vyeti vya degree kuitambua impact ya Manara katika simba.Kuna mdau hapo juu amesema manara nafasi inayomfaa ni ya uongozi katika ushangiliaji. Public Administration sio kazi ya kupiga kelele ina mambo mengi ndani yake kwahiyo hiyo position uliyompa haimfai
[emoji23][emoji23][emoji23] MC wa simba is perfect.Sawa awe MC wa simba basi ila alipwe malipo yake kila siku ya Simba inapocheza malipo yasiopungua 1.5M taslim kama Ma MC wengine wanavyolipwa mjini na katika matukio yeyote ya Club alipwe ujira wake maana kazi anayoifanya tunaiona hatuhitaji vyeti vya degree kuitambua impact ya Manara katika simba.
Nikiri tu sikuwahi kuwa mshabiki wa mpira na wala sikuwahi kupenda mpira ila nimedevelop ushabiki kwa influence ya Manara! Deep down sijui formalities zozote za mpira ila simba ikicheza nashangilia[emoji28]
Manara kazaliwa Uholanzi wakati baba yake Anacheza mpira huko, kaishi sana ulaya utotoniHivi manara anajua kimalikia kweli?
Naona hyo nafasi imemzidi uwezo afisa habari wa Simba daily kutukana Utopolo huo ni wastage of time, hafu kupata matangazo ya GSM Utopolo kavimba kichwa mi naona apumzike ili afanye vizuri Mambo yake personal
Je anajua kimalikia maana namwona ni empty boxManara kazaliwa Uholanzi wakati baba yake Anacheza mpira huko, kaishi sana ulaya utotoni
Waswahili hamtakagi wasomi au mambo kuendeshwa katika mifumo. Mnatafuta nafasi za upigaji zikizibwa chokoo ndio zinaanza. Huyu dada ni mahiri, shujaa na ambaye si kaipaisha Simba kimataifa zTanzania hali kadhalika. Huyo manara akipewa nafasi ya mtendaji mkuu ataiweza? Hata hivyo timu ni mali ya Mo tusubiri mwenye mali ataona ni nani mwenye maslahi na kampuni yake kwa sasa maana kwa hali hii lazima mmoja aondokeHuyu Binti atawaharibu kinoma pae Msimbazi.
Watu wengi waluo wahi fanya naye kazi wanasema bi mdada anapenda attention mithili ya samaki apendavyo Maji. Tangu aingie pale Klabuni amekuwa na wivu na namna Senzo anavyo zungumziwa sana na Media. Akafanya figisu zake Senzo akasepa.
Bado ikaonekana haitoshi, Media nyingi za Bongo zikawa zinaendelea kummulika Haji Manara. Kitendo hiko kimekuwa kikimkosesha sana raha kwa kipindi cha muda mrefu. Maana lengo lake kuu ni kuwa mtu maarufu pale Msimbazi kuliko mtu yeyote yule.
Sasa hivi anamchokonoa Manara, akijua wazi kabisa Manara akisepa sasa Luninga, TV na Redio zote zinakuwa zikimuangazia yeye tu.
Ninavyo ona huyu Binti atakinukisha sana pale Msimbazi, Itafika mahapa ili kuiokoa klabu Mo atatakiwa achague kati ya Mapenzi na Kabu.
Nasikia De la Boss ameahidi kama akifungwa na Yanga SC hapo tarehe 25 basi atatumia kichaka cha skendo ya Barbara na kuwaachia timu yako.
Ama kweli uhai wa mabadiliko kwenye timu yao bado unashikiliwa na watu wachache wenye nguvu nyingi.
Kweli kabisa MkuuHahahahah ikiwekwa poll Barbra anafungasha virango kabla ya jua kuzama!
Manara ni mwamba kwa sekta ya amsha amsha ama P.A jamaa hata kama vyeti hana ila kipaji chake ni dhahiri! Anaweza kumfanya paka akawa simba kwa mdomo tu. Hata wakimuondoa Simba hawezi kufa njaa sababu makampuni mengi yameshaona uwezo wake jamaa! Utashangaa kakwapuliwa na Sport pesa kwa dau la nguvu!
Manara anaipenda Simba from heart na anaijua historia yake! Ogopa sana mtu anayefanya kitu kwa passion😅😅😅 daima hawezi feli hata kiwe kigumu vipi!
kumbe analipwa 7k na ni deiwaka..Manara si ndiyo Yule mzungu aliyemtishia mwandishi wa Clouds, Yule anaongea sanaaaaaaaa utadhani tumboni kwake Kuna walokole wananena kwa lugha?
Kipaji cha umbea unacho hongera aisee.Huyu Binti atawaharibu kinoma pae Msimbazi.
Watu wengi waluo wahi fanya naye kazi wanasema bi mdada anapenda attention mithili ya samaki apendavyo Maji. Tangu aingie pale Klabuni amekuwa na wivu na namna Senzo anavyo zungumziwa sana na Media. Akafanya figisu zake Senzo akasepa.
Bado ikaonekana haitoshi, Media nyingi za Bongo zikawa zinaendelea kummulika Haji Manara. Kitendo hiko kimekuwa kikimkosesha sana raha kwa kipindi cha muda mrefu. Maana lengo lake kuu ni kuwa mtu maarufu pale Msimbazi kuliko mtu yeyote yule.
Sasa hivi anamchokonoa Manara, akijua wazi kabisa Manara akisepa sasa Luninga, TV na Redio zote zinakuwa zikimuangazia yeye tu.
Ninavyo ona huyu Binti atakinukisha sana pale Msimbazi, Itafika mahapa ili kuiokoa klabu Mo atatakiwa achague kati ya Mapenzi na Kabu.
Nasikia De la Boss ameahidi kama akifungwa na Yanga SC hapo tarehe 25 basi atatumia kichaka cha skendo ya Barbara na kuwaachia timu yako.
Ama kweli uhai wa mabadiliko kwenye timu yao bado unashikiliwa na watu wachache wenye nguvu nyingi.
Kanuni ni moja tu usishindane na MTU asiye weza kukuzuru.Huyu Binti atawaharibu kinoma pae Msimbazi.
Watu wengi waluo wahi fanya naye kazi wanasema bi mdada anapenda attention mithili ya samaki apendavyo Maji. Tangu aingie pale Klabuni amekuwa na wivu na namna Senzo anavyo zungumziwa sana na Media. Akafanya figisu zake Senzo akasepa.
Bado ikaonekana haitoshi, Media nyingi za Bongo zikawa zinaendelea kummulika Haji Manara. Kitendo hiko kimekuwa kikimkosesha sana raha kwa kipindi cha muda mrefu. Maana lengo lake kuu ni kuwa mtu maarufu pale Msimbazi kuliko mtu yeyote yule.
Sasa hivi anamchokonoa Manara, akijua wazi kabisa Manara akisepa sasa Luninga, TV na Redio zote zinakuwa zikimuangazia yeye tu.
Ninavyo ona huyu Binti atakinukisha sana pale Msimbazi, Itafika mahapa ili kuiokoa klabu Mo atatakiwa achague kati ya Mapenzi na Kabu.
Nasikia De la Boss ameahidi kama akifungwa na Yanga SC hapo tarehe 25 basi atatumia kichaka cha skendo ya Barbara na kuwaachia timu yako.
Ama kweli uhai wa mabadiliko kwenye timu yao bado unashikiliwa na watu wachache wenye nguvu nyingi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Manara si ndiyo Yule mzungu aliyemtishia mwandishi wa Clouds, Yule anaongea sanaaaaaaaa utadhani tumboni kwake Kuna walokole wananena kwa lugha?