Tetesi: Barbara kutua Yanga

Nyie wapenzi wa hizo ndio sababu
 
Hahahahahaha
 

Attachments

  • Screenshot_20230728-081232_Chrome.jpg
    63.3 KB · Views: 2
  • Screenshot_20230728-081058_Chrome.jpg
    103.3 KB · Views: 2
Hii tetesi kama ni kweli basi nasubiri kwa hamu sana nimsikie Manara atasemaje maana alimaliza matusi yote kwa huyu bi dada wakati anaondoka Simba. Maana jamaa hana aibu kabisa nikiangalia jinsi alivyowatukana Yanga wote kuacha baba yake na Kikwete tu lakini bado alienda huko huko kufanya kazi nasubiri nione atatokaje iwapo Babra atenda kuwa bosi tena.
 
Akili mingi kongole kwa alichofny morisson yanga walitakiwa wasihangaike nae,alichokuwa akiwafanyia manara akiwa simba kuwatukn ynga huwez sem leo et awe mwanayanga nizaid ya uzwazwa
 
Akija yanga atafanya kazi gani wakati ceo ni Andrew?

Viongozi wa yanga Waendelee kufanya mambo ki professional zaidi wasilete mambo ya urafiki
 
Story za kuwatoa kwenye reli watu wa simba kuhusu simba day
 
Mkude ni shabiki lia lia wa Yanga
 
Kumbe siku zote mlikuwa mnammezea mate? Endeleeni kummezea mate maana baada ya kazi yake CAF Headquarters kuisha, atakuwa anapatikana Mtaa wa Msimbazi kwa timu kubwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…