Tetesi: Barbara kutua Yanga

Tetesi: Barbara kutua Yanga

IMG-20230729-WA0004.jpg

Tayari huku.
 
Hersi namkubali kwa uongozi thabiti ila huyu jamaa ana katabia flani ka mashindano yasiyo na tija na nadhani ana ule moyo wa kufanya kitu hata kama hakina faida kikubwa kiwe kinamuumiza mpinzani wake. Hivi inawezekanaje kwamba kila anae zinguana na makolo ghafla anakuwa anahitajika na Yanga? Kwani tunashindwa kutafuta watu wetu tukawaajili, si wanayanga wamejaa nchi nzima na nje? Kwamba tulikuwa na sababu gani ya kumrudisha Morrison, kumchukua Manara na leo Barbara? Hersi akue, aache mashindano kama vijana walio kwenye barehe.
 

Tetesi bado hazijaweka wazi anakwenda Yanga kufanya kazi gani but zinasema anakwenda Yanga na muda si mrefu atatangazwa rasmi.

Barbra: Karibu sana kwenye klabu yako ya tangu utotoni kule simba ulikuwa kikazi tu ila mapenzi yako yapo Yanga.
 

Attachments

  • Screenshot_2023-08-03-04-27-47-60.jpg
    Screenshot_2023-08-03-04-27-47-60.jpg
    51.8 KB · Views: 3
Back
Top Bottom