The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
WoS.. nimepata wazo.. inabidi upatiwe kajukwaa kakutoa elimu hii ya maisha (life skills) maana nadhani hapa kuna wengi tunaweza kufaidika katika weledi wako. Kumbe ndio maana unaitwa "wa Substance".. halafu ulikuwaga na ile signature yako moja hivi ya mwanzoni.. naikumbuka kumbuka hivi..
Lengo lao linakuwa halijatimia. Fikiria hivi:Mzee halafu sijui kwanini mtu ukimaliza kunyoa ukawaambia sifanyi hizo scrub wala usinioshe nitaenda nyumbani kuoga wanakuwa wanakasirika kweli huwa sielewi ni kwanini
Lengo lao linakuwa halijatimia. Fikiria hivi:
Kwenye mabaa kwanini barmaids wako aggressive sana? Ni kwa vile hawalipwi mishahara au kama wanalipwa ni hela ndogo mno.Nyingine inabidi wajitafutie.
Most of the barber shops nako kila kiti kina "bei yake kwa siku".Wale vijana wanaonyoa hutakiwa kulipia hivyo viti kama vile wamekodisha.Naamini wale wasichana nao wanatakiwa wachacharike kuingiza kipato.
You are right WOS sababu kuna kinyozi mmoja aliniambia per week inabidi wapeleke laki moja kwa kiti kimoja whether umeme upo au haupo na isipofika inakuwa ni deni ambalo tajiri yako anakuwa anakudai na ndio hawa wasichana kama ulivyosema wanachakarika watakuuliza kila kitu hadi utaulizwa kama unaosha miguu, nilikuwa nikijiuliza kwanini kwenye sbarbershops hawaweki kibao kinachoonyesha bei wanakutajia bei kwa mdomo baadae nilikuja kugundua ni kwanini
Ina mana kama wewe muhendisam basi unalipa zaidi au unamaanisha nini JN?hawaweki bei kwa sababu bei inategemea muonekano wako.
How about femini hair dressing salons where hair dressers, massagers are handsome men? A,nt they also a threat to our marriages?
hawaweki bei kwa sababu bei inategemea muonekano wako.
Yes, this is a new threat for marriages. kwa kweli kama umeoa na unaipenda ndoa yako jiepushe na hizi barber shop, bora ununue scrubs and massage lotion mkeo awe anakufanyia home if you so like it. Na nyie kina mama/dada, jifunzeni hii service muwe mkiitoa kwa waume zenu huko home, bila hivyo kwa kweli only time can tell.
haa hi kitu ni balaa, maana Kuna siku baada ya kunyolewa nikaambiwa niende kuoshwa kichwa pamoja na uso, huyo dada aliyekuwa anafanya hii kazi haki ya Mungu alikuwa keshanitia kishawishini, maana ananiosha uso na sehemu ya masikio alafu akawa anaingiza vidole vyake masikioni kwa makusudi kabisa, kufika kwenye kidevu ndio alikaa kama dakika kazaa akikiosha tu huku ananiangalia kwa macho malegevu kabisa, alikuwa kavaa kasuruali kepesi basi akawa anasogelea goti langu na kuliweka katikati ya miguu yake na huku kama anajisuguasugua,
nilikuwa mpole nasubiri ushahidi tu
Wakina mama (Mlioolewa) kweli mna kazi (Bar Maid, House Maid, Networking friendz, and now Berbershop Ladies)

duh.. mimi barber wangu ni mwanamke for years.. kumbe nimepitwa!

Dada yangu huo muda wanao wanawake wa siku hizi, baijing iliharibu kila kitu acha wanaume wakapewe huduma!!!!Yes, this is a new threat for marriages. kwa kweli kama umeoa na unaipenda ndoa yako jiepushe na hizi barber shop, bora ununue scrubs and massage lotion mkeo awe anakufanyia home if you so like it. Na nyie kina mama/dada, jifunzeni hii service muwe mkiitoa kwa waume zenu huko home, bila hivyo kwa kweli only time can tell.
wakiwa wakiume wahudumu pia mama watoto wako akienda ni pbm
waosha kucha wanashika shika nyayo na masaj kwa sana miguun ..KWA WADHAIFU INAWEZA IKALA KWAKE