The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
WoS.. nimepata wazo.. inabidi upatiwe kajukwaa kakutoa elimu hii ya maisha (life skills) maana nadhani hapa kuna wengi tunaweza kufaidika katika weledi wako. Kumbe ndio maana unaitwa "wa Substance".. halafu ulikuwaga na ile signature yako moja hivi ya mwanzoni.. naikumbuka kumbuka hivi..
MM hivi huko kijijini kuna hizi Scrub sijui facial, steamer au bado mnanyolea wembe