Northern Lights
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 395
- 357
Vipi Mkuu ushapata tiketiKama mna dhani Celta vigo, na Sporting Gijon ziko sawa na PSG endeleeni.
Barcelona akipita nahamia Congo DRC
Me tim maumivu mkuuHaha real Madrid fan spotted
Ata kama za uongoPenalties za uongo hizi
Nisubr mkuu maaanaDaaah
Kesho ntakuwa nilielekea Bukavu
Kabsaa mkuu refaa alikuaGame iliuzwa
MukubwaaKama mna dhani Celta vigo, na Sporting Gijon ziko sawa na PSG endeleeni.
Barcelona akipita nahamia Congo DRC
Unapenda timu zinazonunua Mechi? Dakika tano zilitokea wapi hadi zikaongezwa? Suarez kajiangusha na goli la sita si halal rushwa hatari...Haya ni maajabu kwa Spain najiunga rasmi kuwa mshabiki wa barcelona
Haahahahah,msalimie KabilaDaaah
Kesho ntakuwa nilielekea Bukavu
Vipi Leo kaisahau??[emoji23][emoji23][emoji23]Barca anapigwa tena na Leo....... time will tell!! Tatizoo sio PSG kocha wa Sevilla Yule ndo kubwa la maaduii anaijua barca adii uvungunii [emoji23][emoji23]
Bado upo?Sikatai, kushinda mtashinda ndio...
Tena mechi ya leo mtaibuka kwa ushindi wa magoli 5 - 1, ila na safari yenu ya michuano itaishia hapa hapa
Mods naomba mtekeleze hili.Hahaha nimekumbuka mechi ya Ngaya vs Yanga. Mnadhani PSG in Arsenal iliyopigwa goli 10 mechi mbili? Barca ikipita mods nipigeni ban ya mwaka.
KeshoVipi Mkuu ushapata tiketi