Matokeo vipi?Kwangu Mimi,
Barcelona atashinda lakini hatasonga mbele hatua ya robo fainali.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Mkuu imetimia..!Naomba hii ndoto itimie[emoji144]
Bosi bora nika a zishe bendi tuNisubr mkuu maaana
Kitumbua kishaingiaaa mchangaa
Mkuu ushafika??Hahaha
Ntaenda bukavu kufungua bendi na sita anglia mpira tena
Wamebebwa wapi? Ww mpira haukatiki Lango mwako kwa mitutu mikali unadhani mistakes zitakosa?Barcelona wamebebwa kuanzia dakika ya kwanza mpaka ya mwisho
Kesho ntakuwa Congo, Bora nikaanzishe bendi tuMkuu ushafika??
Mkuu maandiko yanakataza kuapa maana utashindwa kutimiza karibuni kesho tukakufanye kada wetu.barcelona akishinda naamia chama cha mapinduzi
Viva Barca[emoji123][emoji123][emoji123]Mkuu imetimia..!
[emoji28][emoji28][emoji28] barca siyo arsenal. Usijali tunakupa second chanceKesho
Naondoka
This isnt fair , sjui kwa kuwa ni siku ya wanawake wamecheza kimama mama
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]2 SHIT PENALTIES
3 mins ET in first half and another 5 in second half
But also shit Paris
Hata kama wamebebwa, Psg wamecheza mchezo wa kishamba mno! Barca wamekimbiza soka la kiume leoBarcelona wamebebwa kuanzia dakika ya kwanza mpaka ya mwisho
penati za uongo,,faulo za uongo ni kubebwa tu mwanzo mwishoWamebebwa wapi? Ww mpira haukatiki Lango mwako kwa mitutu mikali unadhani mistakes zitakosa?
Kama mna dhani Celta vigo, na Sporting Gijon ziko sawa na PSG endeleeni.
Barcelona akipita nahamia Congo DRC
Watu bhana sijui una tatizo gani[emoji23][emoji23][emoji23]Barcelona wamebebwa kuanzia dakika ya kwanza mpaka ya mwisho
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu nakusalimiaUnapenda timu zinazonunua Mechi? Dakika tano zilitokea wapi hadi zikaongezwa? Suarez kajiangusha na goli la sita si halal rushwa hatari...