Barcelona atashinda kwa kishindo dhidi ya PSG UEFA 2nd leg round 16

penati ya suarez kajitupa kinafiki as usual na goli la sita litizame fresh ni offside mkuu
Suarez kachezewa technical faul...kaguswa kidogo sana kwe upaja karibu na got kibaya ameshakua mbele ya bek...so ilikua n ngum kuacha pale...

Goal la mwisho.... Instant ya mpira kupigwa na neymar.., mfungaj n kama alikua line moja ila nahc presha ya mashabk na dk zenyewe offside icyoonekana sana ndo maana refa kat..

Kwa huwez ku justify kuwa refa katubeba wakat mda mwing wa mchezo wachezaj wa barca ndo walionekana kuonewa... Kuna kipind mess alimfuata mpaka Kuna faul moja ya kijanja Suarez alichezewa ndan 18

Sent from my E2303 using JamiiForums mobile app
 
Natamani Mpangiwe nasi Real au Bayern hata Mkibebwa mnakula mabao tu ya Mbali
 
Hahaha nimekumbuka mechi ya Ngaya vs Yanga. Mnadhani PSG in Arsenal iliyopigwa goli 10 mechi mbili? Barca ikipita mods nipigeni ban ya mwaka.
Jifunze kuandika machache, mengine yabaki hakiba hasa yale ambayo huna uhakika nayo.
 
[emoji85] [emoji85] [emoji86] [emoji86] [emoji87] [emoji87]
 
Kama mna dhani Celta vigo, na Sporting Gijon ziko sawa na PSG endeleeni.
Barcelona akipita nahamia Congo DRC
mkuu ulieweka akiba ya maneno ya kuhamia congo maana barcelona ndo keshafanya yake
 
Mashabiki wa Arsenal wanaingiaga uwanjani na Drip, Kisukari, BP, tumbo la kuhara, vitanzi vya kujinyongea nk
 
Kama mna dhani Celta vigo, na Sporting Gijon ziko sawa na PSG endeleeni.
Barcelona akipita nahamia Congo DRC
Hamia basi huko congo babulai au tukuite mhamiaji haramu fasta upeleke huko Goma au Kivu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…