Bullava
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 618
- 1,002
I hope sasa hivi utakuwa unakaribia Burundi ili kwenda Congo drc kama ulivyoahidiKama mna dhani Celta vigo, na Sporting Gijon ziko sawa na PSG endeleeni.
Barcelona akipita nahamia Congo DRC
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I hope sasa hivi utakuwa unakaribia Burundi ili kwenda Congo drc kama ulivyoahidiKama mna dhani Celta vigo, na Sporting Gijon ziko sawa na PSG endeleeni.
Barcelona akipita nahamia Congo DRC
Its Corruptions is the what!So what
Corruption howIts Corruptions is the what!
Hama sasaKama mna dhani Celta vigo, na Sporting Gijon ziko sawa na PSG endeleeni.
Barcelona akipita nahamia Congo DRC
Wap now mzee....ushafika mpakani?Kama mna dhani Celta vigo, na Sporting Gijon ziko sawa na PSG endeleeni.
Barcelona akipita nahamia Congo DRC
Suarez kachezewa technical faul...kaguswa kidogo sana kwe upaja karibu na got kibaya ameshakua mbele ya bek...so ilikua n ngum kuacha pale...penati ya suarez kajitupa kinafiki as usual na goli la sita litizame fresh ni offside mkuu
Babake ukipeleza nauli ya kukupeleka DRC ucsite kuniomba..Kama mna dhani Celta vigo, na Sporting Gijon ziko sawa na PSG endeleeni.
Barcelona akipita nahamia Congo DRC
SureVIVA BARCELONA
HAKIKA TUTAWASAMBARATISHA KWA GOLI KUANZIA 6
Laiti mpira ungekuwa unachezwa dakika 200 basi wangeondoka na sandarusi la magoliJamani Psg sio Sunderland au celtic ambayo unaweza kufunga goli kibao
Jifunze kuandika machache, mengine yabaki hakiba hasa yale ambayo huna uhakika nayo.Hahaha nimekumbuka mechi ya Ngaya vs Yanga. Mnadhani PSG in Arsenal iliyopigwa goli 10 mechi mbili? Barca ikipita mods nipigeni ban ya mwaka.
Umesha hamia Kongo?Kama mna dhani Celta vigo, na Sporting Gijon ziko sawa na PSG endeleeni.
Barcelona akipita nahamia Congo DRC
mkuu ulieweka akiba ya maneno ya kuhamia congo maana barcelona ndo keshafanya yakeKama mna dhani Celta vigo, na Sporting Gijon ziko sawa na PSG endeleeni.
Barcelona akipita nahamia Congo DRC
Mashabiki wa Arsenal wanaingiaga uwanjani na Drip, Kisukari, BP, tumbo la kuhara, vitanzi vya kujinyongea nkFanya kitu kimoja. Ipende Barca utake usitake. Utakufa kwa Pressure. Tambua kinyongo huzaa Cancer.
Ni timu pekee ambayo kuitoa Champion League round ya 16 ni ngumu sana.
Barca ndio timu pekee ukiwa shabiki wake; unaingia uwanjani una 60% ya ushindi. Ila huko Arsenal sijui Real Madrid utakufa mapema.
Hamia basi huko congo babulai au tukuite mhamiaji haramu fasta upeleke huko Goma au Kivu.Kama mna dhani Celta vigo, na Sporting Gijon ziko sawa na PSG endeleeni.
Barcelona akipita nahamia Congo DRC
vipi ushakata viza.Kama mna dhani Celta vigo, na Sporting Gijon ziko sawa na PSG endeleeni.
Barcelona akipita nahamia Congo DRC