Barcelona atashinda kwa kishindo dhidi ya PSG UEFA 2nd leg round 16

Mwekundu weka akiba ya maneno mkuu mtakuja muingiliwe kinyume na maumbile
 
Mbona wewe wali kutwanga 4 mechi kabla ya hiii

Na hujawahi wafunga kwao mwaka wa 4 huuu.??

Kwao wanakuwaga vzuri
ndiyo ujue Celta siyo timu ndogo, lakini jana tumeifunga 5 timu uliyotufunga nne na iliyowafurusha CDR. jtano utaona maajabu. nyie mkichomoka kwa Napoli nakununulia vocha ya 2,000. i have a hunch kwamba hamchomoki.
 
Barca hawezi tolewa na wapumbavu kama wale
Kwan msim uliopita walitolewa na wapumbavu gani na walikuwa na goals difference ngapi, yaani msimu huu hata robo hamnusi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…