magnifico
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 11,075
- 24,634
Jamaa anajitoa ufahamu!Mbona wewe wali kutwanga 4 mechi kabla ya hiii
Na hujawahi wafunga kwao mwaka wa 4 huuu.??
Kwao wanakuwaga vzuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa anajitoa ufahamu!Mbona wewe wali kutwanga 4 mechi kabla ya hiii
Na hujawahi wafunga kwao mwaka wa 4 huuu.??
Kwao wanakuwaga vzuri
hapana mkuu yani namaanisha hawezi kumpiga magoli yote hayoInaonyesha Magu amekufurahisha unatafuta sababu yakuhamia huko
DuuhKwani uki defend idadi ya wachezaji inaongezeka?here we go PSG atakaa
Tutafanya maajabuHAMSHINDII
kachukuage kadi lumumba mapemabarcelona akishinda naamia chama cha mapinduzi
Me nitakuwa wa pili kuhamia broKama mna dhani Celta vigo, na Sporting Gijon ziko sawa na PSG endeleeni.
Barcelona akipita nahamia Congo DRC
[emoji12] [emoji12] [emoji12]kachukuage kadi lumumba mapema
ndiyo ujue Celta siyo timu ndogo, lakini jana tumeifunga 5 timu uliyotufunga nne na iliyowafurusha CDR. jtano utaona maajabu. nyie mkichomoka kwa Napoli nakununulia vocha ya 2,000. i have a hunch kwamba hamchomoki.Mbona wewe wali kutwanga 4 mechi kabla ya hiii
Na hujawahi wafunga kwao mwaka wa 4 huuu.??
Kwao wanakuwaga vzuri
Kwan msim uliopita walitolewa na wapumbavu gani na walikuwa na goals difference ngapi, yaani msimu huu hata robo hamnusi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Barca hawezi tolewa na wapumbavu kama wale