Barcelona atashinda kwa kishindo dhidi ya PSG UEFA 2nd leg round 16

Verrati, Meuner, Maquinhos, Kipempe, Matuidi, Cavani, Dimaria, Mota, Sergi, Rabiot, Pastore, Kurzawa, Silva
Duh hivi unatokaje hapa
 
Unaenda barca kushambulia ...unakosa tunajua umtiti kalaza na pique [HASHTAG]#dimaria[/HASHTAG]
 
Ile siku waliotea hao watu utakua hauwaoni Jumatano Macherano is back
UZI Haujakamilika mkuu...malizia Barcelona ikishindwa kuitoa PSG utameza zana ipi ya kilimo?????maana ushamaliza kumeza zana zote za kilimo kuanzia mundu visu hadi shoka kwa utabiri wako kwenda kombo. Haaaa haaa haaaaa
 
UZI Haujakamilika mkuu...malizia Barcelona ikishindwa kuitoa PSG utameza zana ipi ya kilimo?????maana ushamaliza kumeza zana zote za kilimo kuanzia mundu visu hadi shoka kwa utabiri wako kwenda kombo. Haaaa haaa haaaaa
Ha ha umekariri this is not a drill
 
Tatizo mnamgeuza emery uncle wenu nani atakaye mzuia Cavan asifunge PSG si timu ya kuunga unga draxler ,de maria nyuma yao matuidi dimba la kati verati rabiot hawatakagi ujinga PSG akifungwa mpira haujatendewa haki siongelei kutolewa hiyo haiwezekani ni kama kuota raisi atakufa
 
Ndoto hii ulioota ni mbaya sana kwa Barcelona umeshawazika kabla ya Mechi Bye Barcelona[emoji113][emoji113]
 
VIVA BARCELONA

HAKIKA TUTAWASAMBARATISHA KWA GOLI KUANZIA 6
Aisee kusema ni rahisi,lakini kivitendo ni ngumu sana.Hivi kweli goli 4-0 za mechi ya kwanza ina maana Barc.hawakucheza ila PSG ndio walicheza peke yao?PSG sio timu ndogo kama unavyodhani,hawana jinsi hii timu imetolewa tu hata wacheze vipi.
Mleta Uzi ndugu yangu Mwekundu hapa hakuna jinsi,fainali Cardiff wataisikia tu baada ya mechi ya kesho around SAA 4-6 usiku.
MNALETA MASIHARA NYIE,AFUNGWE PSG ZAIDI YA GOLI 4 WATAKUWA WAMEFUNGWA KAMBA MIGUUNI?[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Huu ushabiki unaoambatana na shine ya maharage na kacholi nahisi inakusumbua sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…