elmatadorkruz
Senior Member
- Aug 10, 2016
- 195
- 266
Nitahakikisha hili mods wanalitimiza maana barca lazima wapite hakuna namnaaHahaha nimekumbuka mechi ya Ngaya vs Yanga. Mnadhani PSG in Arsenal iliyopigwa goli 10 mechi mbili? Barca ikipita mods nipigeni ban ya mwaka.
We jidanfanye tu Sevilla hajawahi kumfunga Barca tangu awe yeye kocha ,Sevilla wateja wao MadridBarca anapigwa tena na Leo....... time will tell!! Tatizoo sio PSG kocha wa Sevilla Yule ndo kubwa la maaduii anaijua barca adii uvungunii [emoji23][emoji23]
mkuu hao achana naoWe jidanfanye tu Sevilla hajawahi kumfunga Barca tangu awe yeye kocha ,Sevilla wateja wao Madrid
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Suruali zao zimeloana tayari
Hahaaaaaaaaaaa mleta mada betting zitamfilisiPSG siyo Arsenal
nipo, nasali ndoto itimie...We mtu upo?itatimia kwa uwezo wa Barca