Mkuu kama umeanza safari nishtue maana hii nchi nimeichoka.Kama mna dhani Celta vigo, na Sporting Gijon ziko sawa na PSG endeleeni.
Barcelona akipita nahamia Congo DRC
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kama umeanza safari nishtue maana hii nchi nimeichoka.Kama mna dhani Celta vigo, na Sporting Gijon ziko sawa na PSG endeleeni.
Barcelona akipita nahamia Congo DRC
mkuu utakuwa goma au bukavu?Kama mna dhani Celta vigo, na Sporting Gijon ziko sawa na PSG endeleeni.
Barcelona akipita nahamia Congo DRC
VP mkuu uliahidi kuhamia Congo barca akigeuza matokeo ushaanza safari mmkuuKama mna dhani Celta vigo, na Sporting Gijon ziko sawa na PSG endeleeni.
Barcelona akipita nahamia Congo DRC
Kama mna dhani Celta vigo, na Sporting Gijon ziko sawa na PSG endeleeni.
Barcelona akipita nahamia Congo DRC
Ushukuru sikujui ukahamia! Hiyo ndo MSNKama mna dhani Celta vigo, na Sporting Gijon ziko sawa na PSG endeleeni.
Barcelona akipita nahamia Congo DRC
Safi sanaVIVA BARCELONA
HAKIKA TUTAWASAMBARATISHA KWA GOLI KUANZIA 6
Ni zaidi ya Arsenal sanaPSG siyo Arsenal
WE KADA WA CCM UKINYWA SUMU SI ITAKUWA SHANGWE. MIMI NITACHINJA MBUZI.barca wakitinga robo fainali nakunywa sumu leo leo
Together we can ,msnKila kitu kinawezekana ktk soka. Illa kwa akili za kibanadamu barca atatolewa. PSG ni timu nzuri sana japo hawaifiki Barca wakiwa katika kiwango. Barca walikosea mechi ya kwanza na wakaadhibiwa sana hawakuwa ktk form. Time will tell illa defence ya barca wataruhusu bao hapo ndio tatizo. Watashinda barca illa watatolewa navyodhani mimi.
Ni kweli sio Madrid ni PSG.ni walewale wasiopendwa Ni MSNWala sio madrid
Hamiabarcelona akishinda naamia chama cha mapinduzi
Unajua kwamba Madrid kwa PSG anaaga mashindano?Natamani Mpangiwe nasi Real au Bayern hata Mkibebwa mnakula mabao tu ya Mbali
Rudia kauli yako[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ile ilikuwa miaka hiyo na hawakucheza ku defend goli 4 kama wanavo fanya psg.
Mshatoka
Nadhani ushaanza kufungasha mkuu, .Kama mna dhani Celta vigo, na Sporting Gijon ziko sawa na PSG endeleeni.
Barcelona akipita nahamia Congo DRC
Ndo kilichofanyika! Call them MSNTutafanya maajabu
Hawa mods wanantia sana hasira, hawa ni wa kupigwa Ban Mkuu.Mod wale wote walioidharau Barcelona, ni wahalifu wakubwa naomba piga ban wote, ngedere kabisa
Umewapigia baba! Na wamepokea kazi ilikuwa kujibu ulichokuwa unakitaka wakijibu!jana messi aliwapigia simu ila ni ngumu sana barca kupita![]()
Msiba wake hata ibilisi na jopo lake watahudhuria.Me nachinja ng'ombe huyo mtu akinywa sumu