Linamo
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,976
- 24,496
Lile la Jana ni dhorubaNdo kilichofanyika! Call them MSN
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lile la Jana ni dhorubaNdo kilichofanyika! Call them MSN
Huyo ndo la purgaUmewapigia baba! Na wamepokea kazi ilikuwa kujibu ulichokuwa unakitaka wakijibu!
Bado hujahama tuKama mna dhani Celta vigo, na Sporting Gijon ziko sawa na PSG endeleeni.
Barcelona akipita nahamia Congo DRC
Ushaanza safari kuelekea kwa kina Maringo saba mkuu? Totall unbelievable aisee japo sikuona lkn nilikuwa nafuatilia kwa karibu sanaKama mna dhani Celta vigo, na Sporting Gijon ziko sawa na PSG endeleeni.
Barcelona akipita nahamia Congo DRC
Mkuu umeishamia Chama cha kijanibarcelona akishinda naamia chama cha mapinduzi
Tupe updates kama umeishahamia DRC CongoKama mna dhani Celta vigo, na Sporting Gijon ziko sawa na PSG endeleeni.
Barcelona akipita nahamia Congo DRC
natumain ndo unafungasha mabeg yako uende congoKama mna dhani Celta vigo, na Sporting Gijon ziko sawa na PSG endeleeni.
Barcelona akipita nahamia Congo DRC
Kama mna dhani Celta vigo, na Sporting Gijon ziko sawa na PSG endeleeni.
Barcelona akipita nahamia Congo DRC
Cavanni na di maria watajilam sana kwa kukosa nafasi za wazi!!Macherano ni defender wa world class
Jana nilivomuona masherano kwenye line up nikajua hawa mafala hawachomoki,Masherano ni muhuni ndani ya kambi ya wastaarabu.yule jamaa bora afe uwanjani ijulikane alikua anapambania legacyMacherano ni defender wa world classic
Umeona ule mfumo wa 3-4-3 anavyo fit upande wa kulia na katikati?ha ha ha walisema barca kulia ni uchochoro akaletwa MacheranoJana nilivomuona masherano kwenye line up nikajua hawa mafala hawachomoki,Masherano ni muhuni ndani ya kambi ya wastaarabu.yule jamaa bora afe uwanjani ijulikane alikua anapambania legacy
Yule jamaa utadhani katokea msata mkwengwelu chai togwa Vitafunwa mapera bendera ya bati kamba mnyororo.Umeona ule mfumo wa 3-4-3 anavyo fit upande wa kulia na katikati?ha ha ha walisema barca kulia ni uchochoro akaletwa Macherano
Ndo uwezo wao ulipoishiaCavanni na di maria watajilam sana kwa kukosa nafasi za wazi!!