Barcelona atashinda kwa kishindo dhidi ya PSG UEFA 2nd leg round 16

Barcelona atashinda kwa kishindo dhidi ya PSG UEFA 2nd leg round 16

Hili litimu nnalichukia lakini ntafanyaje sasa!? Dah hongereni sana!! Jana japo nliumia ila nlijifunza kitu, ISIKATE TAMAA NO MATTER WHAT!
 
Kama mna dhani Celta vigo, na Sporting Gijon ziko sawa na PSG endeleeni.
Barcelona akipita nahamia Congo DRC
Ushaanza safari kuelekea kwa kina Maringo saba mkuu? Totall unbelievable aisee japo sikuona lkn nilikuwa nafuatilia kwa karibu sana
 
Hili litimu nnalichukia lakini ntafanyaje sasa!? Dah hongereni sana!! Jana japo nliumia ila nlijifunza kitu, ISIKATE TAMAA NO MATTER WHAT!
Dont hate the team ,hate the game[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
  • Thanks
Reactions: PNC
FC Barcelona ni wanaume wa vita ya dunia,Masherano alikula shisha jana,MSN walikula viroba
 
Jana nilivomuona masherano kwenye line up nikajua hawa mafala hawachomoki,Masherano ni muhuni ndani ya kambi ya wastaarabu.yule jamaa bora afe uwanjani ijulikane alikua anapambania legacy
Umeona ule mfumo wa 3-4-3 anavyo fit upande wa kulia na katikati?ha ha ha walisema barca kulia ni uchochoro akaletwa Macherano
 
Back
Top Bottom