Barcelona na Real Madrid ni Timu za wanachama kunachosumbua Simba na Yanga ni umasikini na ukosefu wa mipango thabiti

Barcelona na Real Madrid ni Timu za wanachama kunachosumbua Simba na Yanga ni umasikini na ukosefu wa mipango thabiti

Mashabiki ambao hawalipi kadi, hawalipii app, hawanunuo jersey og,
Hawaendi uwanjani, au mashabiki wapi
Mashabiki haohao unaowasema ndio wanalanguliwa jezi wananunua tiketi wakifika uwanja umejaa. Nazungumzia Kama shabiki wa Simba .
Mashabiki ambao hawalipi kadi, hawalipii app, hawanunuo jersey og,
Hawaendi uwanjani, au mashabiki wapi
 
Simba walitoa takwimu zao, naenda twitter utazipata
Simba kwenye lig kacheza home game 15,
Katika hizo game kaingiza mashabiki 121k,
Hapo ni wastani wa mashabiki 8k per match,

Ila kumbuka hapo derby ya simba na yanga waliingia almost watu 50k,
Kwa hio utaona game 14 zilizobaki waliingia watu 70k, wastan wa watu 5k per game,

Haya nambie sasa hao mashabiki wengi wako wapi
 
Mkuu, mm nakubali wapo,
Ila hata hao wachache hawapo
App ya mange ina subscribers na downloads nying kuliko app ya simba na yanga kwa umoja wao,
Yan jumlisha subscribers wa Yanga app na Simba App bado hutafikia wa Mange, hata nusu,

Kwa hio utaona suala la hela sio kweli, ni vipaumbele tu, na kutopenda kuwajibika,
Hizo stats zinaonyesha ni namna gani mbongo anapenda umbea kuliko masuala ya msingi, yuko radhi kuulipia umbea, is how jamii imefikia hapa
 
Acheni uongo,
Wanachama wa bongo hawajui wajibu wao,
Wanachama wa bongo hawanunui jersey og,
Hawaendi uwanjani,
Hawalipii App
Hawalipii kadi za uanachama,

Ndio hawa hawa unalinganisha na wa madrid ? Au Barca ? Ambao kila match ni sold out ? Ambako jersey zinauzwa mpaka zinaagizwa tena kiwandani?

Shida sio mfumo, shida wabongo hatuko responsible
Umeongea ukweli mtupu,wanachama tumechoka hohe hahe sasa vilabu vitaendelea vp?anglia wenzetu mchezaji akinunuliwa tu jezi yake inauzwa balaa lkn sio hapa kwetu.makelele tu kwenye mitandao lkn hatuna msaada wowote na vilabu vyetu.
 
Simba kwenye lig kacheza home game 15,
Katika hizo game kaingiza mashabiki 121k,
Hapo ni wastani wa mashabiki 8k per match,

Ila kumbuka hapo derby ya simba na yanga waliingia almost watu 50k,
Kwa hio utaona game 14 zilizobaki waliingia watu 70k, wastan wa watu 5k per game,

Haya nambie sasa hao mashabiki wengi wako wapi
Unamfahamu kulikuwa na sold out ya Simba day, sold out ya Afl na hiyo mechi ya yanga unayosema ilikuwa 50k kwa hizo mechi tatu tayari ni over 150k kwa hiyo takwimu zako ni feki bado sijaweka za michuano ya klabu bingwa.
 
Nakuambia ni match za lig kuu, wew unaleta afl na simba day, changamoto hii,

Halafu derby haikuwa sold out,
Simba hamkuwa na match yeyote ya lig ya mabingwa iliyokuwa sold out
 
Nakuambia ni match za lig kuu, wew unaleta afl na simba day, changamoto hii,

Halafu derby haikuwa sold out,
Simba hamkuwa na match yeyote ya lig ya mabingwa iliyokuwa sold out
Wewe ulitaka kujua kuhusu mashabiki kwanini unachagua mashindano au hayo mashindano mengine walikuwa wanahudhuria mashabiki wa timu hani
 
Huu Uzi Ufutwe Hauna Maana Yeyote Aisee...!! Alieandika Kashiba Mihogo Tu Haelewi Kaandika Aisee

Watu wa Nchi Katika Football Wanataka Furaha Ambayo ni Matokeo ya Match Tu Nasio Hayo Unayosema Wewe....!! Hakuna Mwekezaji Atakuja Kuwekeza Sehem ili Apate Hasara Tu Nasio Faida...!! Mwekezaji Anataka Pesa za Mteja Ambae ni Mwanachama Hai

Huko Nchini Kwetu
FULL HOUSE MPAKA DERBY...? UWANJA UJENGWE WA NINI..?

JERSEY OG KUTOKA DUKA LA CLUB (HAMNUNUI)

APPS & BLOGS ZA TIMU HAMTEMBELEI

KUSAFIRI NA TIMU HAMUWEZI...??

LEO HII UMUAMLISHE MWEKEZAJI WAKATI MTAJI KWENYE CLUB HAKUNA 😁
 
Mkuu, mm nakubali wapo,
Ila hata hao wachache hawapo
App ya mange ina subscribers na downloads nying kuliko app ya simba na yanga kwa umoja wao,
Yan jumlisha subscribers wa Yanga app na Simba App bado hutafikia wa Mange, hata nusu,

Kwa hio utaona suala la hela sio kweli, ni vipaumbele tu, na kutopenda kuwajibika,
🤔🤔🤔🤔🤔
 
Back
Top Bottom