Barcelona nje kwa mianzi mitatu

Barcelona nje kwa mianzi mitatu

Timu zenye mashabiki wenye kupiga kelele ni Barca na Man U naona wote wamefungwa midomo sasa, safi sana.

Kama kawaida Real Madrid anachukua ndoo kwa mara nyingine tena.
 
Timu zenye mashabiki wenye kupiga kelele ni Barca na Man U naona wote wamefungwa midomo sasa, safi sana.

Kama kawaida Real Madrid anachukua ndoo kwa mara nyingine tena.

Hao mashabiki wa hizo timu mbili washenzi wanaongea kama wamemeza kanda, bora kutatulia sasa...
 
Kuna sabuni inaitwa ROMA inaondoa ma Barca Barca yote ukiitaji mcheki DZEKO,, De Rosse,, Manola[emoji12][emoji12][emoji12]
 
Back
Top Bottom