athumanishapu
Member
- Oct 25, 2017
- 71
- 51
Ama kweli mpira unadundaaaaaaaaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itakuwa hivyo tu, maana hamna namna......La Pulga kabaki anakodoa kodo!Kwa hiyo imebaki simba tu! Kwa timu ambazo hazikufungwa msimu Huu...tunaweka kumbu kumbu sawa.
Kabakiza mashindano ya ndevuItakuwa hivyo tu, maana hamna namna......La Pulga kabaki anakodoa kodo!
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]Naomba matokeo ya mwisho, nipo huku madongo kuinama...
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]Naomba matokeo ya mwisho, nipo huku madongo kuinama...
Mapinduzi cupKwa hiyo imebaki simba tu! Kwa timu ambazo hazikufungwa msimu Huu...tunaweka kumbu kumbu sawa.
Kwani utawaonaMnaomfananisha Messi na Ronaldo mje hapa.. shubhaaamit. Ronaldo anachukua Bal dOr nyingine...
FA bado simba IPO?Kwa hiyo imebaki simba tu! Kwa timu ambazo hazikufungwa msimu Huu...tunaweka kumbu kumbu sawa.
FA bado simba IPO?Kwa hiyo imebaki simba tu! Kwa timu ambazo hazikufungwa msimu Huu...tunaweka kumbu kumbu sawa.
Timu zenye mashabiki wenye kupiga kelele ni Barca na Man U naona wote wamefungwa midomo sasa, safi sana.
Kama kawaida Real Madrid anachukua ndoo kwa mara nyingine tena.
Hapa itakuwa nimeingia jukwaa la mirembeKuna sabuni inaitwa ROMA inaondoa ma Barca Barca yote ukiitaji mcheki DZEKO,, De Rosse,, Manola[emoji12][emoji12][emoji12]