Capogi jr.
Member
- Feb 14, 2014
- 49
- 7
Wadau ebu tujadili japo kwa kidogo leo barc anashuka pale camp no kumkalibisha man city. Ukiangalia mechi zao za wikiend iliyopita wote wamefungwa katika makombe tofauti, barc amepigwa goli 1 kwenye lig huku man city akitolewa na wigan kwenye fa kwa kichapo cha 2 kwa 1. Na ukiangalia kwa undani zaidi utajua kwamb barcelona amekuwa akiharibu mech kadha kule la liga lakini kwa man city yeye amekuwa akitoa kichapo kikal(set katka tenes) lakini swali linbaki kwamba nan ataweza kumtoa mwenzake katika uefa. Ukizngatia mech ya awali man city alifungwa 2 bila..........