Barcelona vs man city - uefa champions 12/3/2014

Barcelona vs man city - uefa champions 12/3/2014

Capogi jr.

Member
Joined
Feb 14, 2014
Posts
49
Reaction score
7
Wadau ebu tujadili japo kwa kidogo leo barc anashuka pale camp no kumkalibisha man city. Ukiangalia mechi zao za wikiend iliyopita wote wamefungwa katika makombe tofauti, barc amepigwa goli 1 kwenye lig huku man city akitolewa na wigan kwenye fa kwa kichapo cha 2 kwa 1. Na ukiangalia kwa undani zaidi utajua kwamb barcelona amekuwa akiharibu mech kadha kule la liga lakini kwa man city yeye amekuwa akitoa kichapo kikal(set katka tenes) lakini swali linbaki kwamba nan ataweza kumtoa mwenzake katika uefa. Ukizngatia mech ya awali man city alifungwa 2 bila..........
 
Leo Muingereza mwingine anaaga mashindano.
 
Ninachojua leo ni kwamba Man City anaaga mashindano.
 
Nawasalimia Wakuu!

Naangalia wanavyotoka kiume Hawa man shit!
 
I hate all teams in spain and in Manchester..
 
Back
Top Bottom