Barcelona vs man city - uefa champions 12/3/2014

Kwa hiyo Bayern wamekuwa Barcelona "B" au ni kinyume au ni zimekuwa timu pacha? Barca na Bayern wakikutana msimu huu itakuwa boring match to watch.
 
Bayern hawez kugusa kama barca , pia barca anakosa varieties za bayern kama mashuti , mbio n.k .. For me mechi itakuwa kali

"From tz with true luv"
 
Half time!

Fc Barcelona 0 na Man City Fc 0
 
Jamani wadau, mpira ni mapumziko na mabao ni bila bila ila aggregate ni
bac 2-0 mac
 
Haya haya wapenzi wa man city karibuni tena ktk kipindi hiki cha lala salama mshuhudie mnavopigwa goli 1 tu na Mesi kisha mnarudi zenu etihad kupumzika, karibuni sana
 
Bayern hawez kugusa kama barca , pia barca anakosa varieties za bayern kama mashuti , mbio n.k .. For me mechi itakuwa kali

"From tz with true luv"
Kwangu naona itakuwa boring.. kila timu itakuwa inaogopa kupoteza mpira. Timu zote zimejengwa katika mazingira ya "keeping possessions " hakuna timu itakayokuwa free kuchukuwa risk na kuwa exposed defensive. Nadhani wanaweza kukutana kabla ya robo au nusu fainali..
 
Naitamani sana ya dortmund vs atletico , au chelsea na atletico

"From tz with true luv"
 
Dah ingawaje siwapendi City lakini huyu refa anawaminya.. Yaya kampa msuli Iniesta refa anadai ni faulo. Afu ni mara ya pili naona mbarcelona anapewa msuli refa anapuliza filimbi...
 
Hoja hii inaungwa mkono na Skype
 
Lescott... Kuna muda nilikuwa namuona ni beki mzuri, loh. Angekula muwa mara moja, mbili Messi asingemwona uchochoro.
 
Back
Top Bottom