Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani sitengui kauli Mkuu!
Huo ndio ukweli!
Long live chelsea! Baba Yao England!
Yani sitengui kauli Mkuu!
Huo ndio ukweli!
Long live chelsea! Baba Yao England!
Leo Muingereza mwingine anaaga mashindano.
Kwa hiyo Bayern wamekuwa Barcelona "B" au ni kinyume au ni zimekuwa timu pacha? Barca na Bayern wakikutana msimu huu itakuwa boring match to watch.
Half time!
Fc Barcelona 0 na Man City Fc 0
Mpira wa leo haujachangamka kabisa
City Hana wapenzi wengi!
Kwangu naona itakuwa boring.. kila timu itakuwa inaogopa kupoteza mpira. Timu zote zimejengwa katika mazingira ya "keeping possessions " hakuna timu itakayokuwa free kuchukuwa risk na kuwa exposed defensive. Nadhani wanaweza kukutana kabla ya robo au nusu fainali..Bayern hawez kugusa kama barca , pia barca anakosa varieties za bayern kama mashuti , mbio n.k .. For me mechi itakuwa kali
"From tz with true luv"
Kwangu naona itakuwa boring.. kila timu itakuwa inaogopa kupoteza mpira. Timu zote zimejengwa katika mazingira ya "keeping possessions " hakuna timu itakayokuwa free kuchukuwa risk na kuwa exposed defensive. Nadhani wanaweza kukutana kabla ya robo au nusu fainali..
Dah ingawaje siwapendi City lakini huyu refa anawaminya.. Yaya kampa msuli Iniesta refa anadai ni faulo. Afu ni mara ya pili naona mbarcelona anapewa msuli refa anapuliza filimbi...