Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,591
- 6,946
Kwahiyo Yanga inaweza kuhamia EPL ikiamua?
Yanga anaweza kuhamia nchi yoyote east africa na akapokelewa.nnavyojua
Lakini kwa ulaya tunadanganyana tu,hicho ki2 hakipo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo Yanga inaweza kuhamia EPL ikiamua?
Watakuwa wachumba EPL wataolewa soon
Ila kwa ubaguzi wa weupe sijui kama watakubali
Hiyo barca inaweza hata isiguse nne bora!
Jumbo lao linadai Uhuru kutoka Spain liwe taifa huruHivi timu inaweza kuhama kama taifa moja kwenda jingine (ligi moja hadi nyingine) kama kuhamisha kontena? Tujuzane hapa.
hiyo Barcelona mbona ishajifiaAysee hii itauwa vibarua vya makocha weng epl
hiyo Barcelona mbona ishajifia
mbona celtic iliapply kujiunga EPL? Hta barcelona ilianzia Fc basel ?? ni rahisi tu unaisajili upya uingereza kma kampuni mpya unaanzia tokea non league mpaka upande hadi EPL ssa kwa mazingira hayo lazma ukubaliwe tuYanga anaweza kuhamia nchi yoyote east africa na akapokelewa.nnavyojua
Lakini kwa ulaya tunadanganyana tu,hicho ki2 hakipo.
Wajiunge under what basis??
Kocha Arsene Wenger wa Arsenal, amesema kama FC Barcelona watakuwa ‘siriaz’ na uamuzi wao wa kuhama La Liga na kucheza Premier League litakuwa jambo zuri lakini wataongeza ugumu kwa kiasi kikubwa.
Barcelona wameonyesha nia ya kujiunga na Premier League kutokana na hali ya kisiasa inayoendelea nchini humo hasa wao wakionyesha kuunga mkono upande wa Catalonia.
“Sidhani kama wamefikia siriaz kiasi hivyo na kwenda wanataka kuhamia EPL.
“Lakini kama ni kweli basi ugumu utakuwa kwa kila mmoja wetu kwa kuwa tunawajua Barcelona na uwezo wao,” alisema Wenger.
Kwa hisani ya salehe Jembe
Hapa atapewa favour kutokana na hali ya nchini kwao, atajiunga moja kwa moja ligi kuuEPL ina timu 20 je huyo barca anaingia kuchukua nafasi ya nani?
Kama Barca anataka kuja epl itambidi ainzie kule ligi za vitongoji then apande league two, one, Championship ndo atue EPL
Its very simple, inakuja nunuliwa weak team iliyopo ligi kuu, inasajili wachezaji hao hao waliotoka barcelona, kocha aliyetoka barcelona, challenge itakuwa in one match line up lazima awe na 5 british nationals kwa pitch, ambao atawanunua pia toka kwa club kubwa hapo hapo epl.EPL ina timu 20 je huyo barca anaingia kuchukua nafasi ya nani?
Kama Barca anataka kuja epl itambidi ainzie kule ligi za vitongoji then apande league two, one, Championship ndo atue EPL