1xbet Sports - EA
JF-Expert Member
- Feb 27, 2017
- 789
- 729
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbona celtic iliapply kujiunga EPL? Hta barcelona ilianzia Fc basel ?? ni rahisi tu unaisajili upya uingereza kma kampuni mpya unaanzia tokea non league mpaka upande hadi EPL ssa kwa mazingira hayo lazma ukubaliwe tu
La liga wanadai kama cataluna wakifanikiwa kujitawala team za cataluna zote hazitaruhusiwa kucheza ligi ya la liga.That will never happen.hawatakubali kwenda kuanza zero.Watabaki La liga.
Daaah,Mzee Wenger bhan.anasilimu amri kabla ya vita.kwel mourinho alisema ukwel' ' proof failure wenger''
Kocha Arsene Wenger wa Arsenal, amesema kama FC Barcelona watakuwa ‘siriaz’ na uamuzi wao wa kuhama La Liga na kucheza Premier League litakuwa jambo zuri lakini wataongeza ugumu kwa kiasi kikubwa.
Barcelona wameonyesha nia ya kujiunga na Premier League kutokana na hali ya kisiasa inayoendelea nchini humo hasa wao wakionyesha kuunga mkono upande wa Catalonia.
“Sidhani kama wamefikia siriaz kiasi hivyo na kwenda wanataka kuhamia EPL.
“Lakini kama ni kweli basi ugumu utakuwa kwa kila mmoja wetu kwa kuwa tunawajua Barcelona na uwezo wao,” alisema Wenger.
Kwa hisani ya salehe Jembe
Woga Huo kaka,mmezoea 4G kwa stoke city,nakuona unaomba catulanya icpate Uhuru wa kujitenga.Na Arsenal watahamia La liga, Man U tutaenda League 1, Chelsea wataenda Bundersiliga na Man City atakuja VPL abaki peke ake
inaweza mkuu ila kipimo ni uwezo wako, inaweza hamia lakini ikawekwa daraja la 100 kulingana na uwezo wake au ikakosa kabisa ligi inayomfaa kwa uwezo wake.Kwahiyo Yanga inaweza kuhamia EPL ikiamua?
Ligi kuu ya England ni ligi ngumu mno,huko wanakasi na nguvu nyingi,Barcelona sanasana atamfunga Arsenal tu,akikutana na Stoke city lazima aombe poo.Labda B na sio Barcelona ya KING MESSI. Tena kila season atakuwa ananyua ndoo. Kina wenger na wenzake wajiandae kuhama nchi.
Barcelona akiomba kuanzia ligi kuu anakubaliwa,ile ni pesa tupu.mbona celtic iliapply kujiunga EPL? Hta barcelona ilianzia Fc basel ?? ni rahisi tu unaisajili upya uingereza kma kampuni mpya unaanzia tokea non league mpaka upande hadi EPL ssa kwa mazingira hayo lazma ukubaliwe tu
kma majirani mabingwa celtic na rangers walikataliwa sembuse spain?? away games stoke iende hadi spain?? obvious no wataambiwa watafute uwanja uingereza na ofisi hivyo itabidi timu mpya ifunguliwe sasa kwa sheria ya uingereza itabidi non league either conference north au south ikimaanisha misimu mitano ndio iingie EPL!!Barcelona akiomba kuanzia ligi kuu anakubaliwa,ile ni pesa tupu.
mbona ajax ipo netherlands ikafungua branch south africa na baadae USA?? hta fc basel ni subsidiary ya Fc barcelonaHaha kama ni kama kampuni tu kwanini zisiweke matawi mengi duniani.. kila kampuni inataka kupanuka kimataifa! Nenda kawaze tena kwanza ndo uje![]()
![]()
![]()
Jf kuna mbumbumbu ivi? unashindwKwahiyo Yanga inaweza kuhamia EPL ikiamua?
Kwa iyo uko kote kuna matatizo ya kisiasa? Umu kuna vilaza akiamungu.Na Arsenal watahamia La liga, Man U tutaenda League 1, Chelsea wataenda Bundersiliga na Man City atakuja VPL abaki peke ake
Unachodhani hakiwezekani kwako kwa mwingine kinawezekana.Hivi timu inaweza kuhama kama taifa moja kwenda jingine (ligi moja hadi nyingine) kama kuhamisha kontena? Tujuzane hapa.
Tanzania haipo kwenye Jumuiya ya Ulaya.Kwahiyo Yanga inaweza kuhamia EPL ikiamua?
Ingekuwa kwenye position ya Barca wangeweza...Kwahiyo Yanga inaweza kuhamia EPL ikiamua?
Brexit haihusiani na EPL usichanganye mada.Tanzania haipo kwenye Jumuiya ya Ulaya.
Na hata hili la Barca sidhani ni rahisi hivyo kwani kuna BREXIT