Barcelona wadaiwa kuhamia EPL, Wenger aanza kuhanya

Barcelona wadaiwa kuhamia EPL, Wenger aanza kuhanya

Inawezekana tu. Barcelona hata ikihamia EPL haitaathiri ushiriki wa timu za EPL UEFA sababu wao watakua wawakirishi namba moja kutokea Catalunya. Upinzani utakuwepo kwenye ubingwa wa EPL tu. Nadhani hata ligi ya Switzerland kunatimu inashiriki kutoka taifa jingine alafu poa tu haina shida. Alaf kuingia EPL haina shida hata kidogo. Msimu wa ligi ukiisha EPL Zitashuka timu 4 alaf championship zitapanda 3 + barcelona, au barcelona ataingizwa acheze championship playoff ili apande ligi kuu.
 
mbona celtic iliapply kujiunga EPL? Hta barcelona ilianzia Fc basel ?? ni rahisi tu unaisajili upya uingereza kma kampuni mpya unaanzia tokea non league mpaka upande hadi EPL ssa kwa mazingira hayo lazma ukubaliwe tu

Unachokisema ni sahihi mkuu zitto. Ila kwa yanga kuhamia ulaya ni kitu kisichowezekana aise ndicho nichomjibu mkuu lukesam. Kwa east africa inawezekana kumpokea, i mean Young africans
 
That will never happen.hawatakubali kwenda kuanza zero.Watabaki La liga.
La liga wanadai kama cataluna wakifanikiwa kujitawala team za cataluna zote hazitaruhusiwa kucheza ligi ya la liga.
 

Kocha Arsene Wenger wa Arsenal, amesema kama FC Barcelona watakuwa ‘siriaz’ na uamuzi wao wa kuhama La Liga na kucheza Premier League litakuwa jambo zuri lakini wataongeza ugumu kwa kiasi kikubwa.

Barcelona wameonyesha nia ya kujiunga na Premier League kutokana na hali ya kisiasa inayoendelea nchini humo hasa wao wakionyesha kuunga mkono upande wa Catalonia.
“Sidhani kama wamefikia siriaz kiasi hivyo na kwenda wanataka kuhamia EPL.

“Lakini kama ni kweli basi ugumu utakuwa kwa kila mmoja wetu kwa kuwa tunawajua Barcelona na uwezo wao,” alisema Wenger.

Kwa hisani ya salehe Jembe
Daaah,Mzee Wenger bhan.anasilimu amri kabla ya vita.kwel mourinho alisema ukwel' ' proof failure wenger''
 
Na Arsenal watahamia La liga, Man U tutaenda League 1, Chelsea wataenda Bundersiliga na Man City atakuja VPL abaki peke ake
Woga Huo kaka,mmezoea 4G kwa stoke city,nakuona unaomba catulanya icpate Uhuru wa kujitenga.
 
Kwahiyo Yanga inaweza kuhamia EPL ikiamua?
inaweza mkuu ila kipimo ni uwezo wako, inaweza hamia lakini ikawekwa daraja la 100 kulingana na uwezo wake au ikakosa kabisa ligi inayomfaa kwa uwezo wake.
 
Labda B na sio Barcelona ya KING MESSI. Tena kila season atakuwa ananyua ndoo. Kina wenger na wenzake wajiandae kuhama nchi.
Ligi kuu ya England ni ligi ngumu mno,huko wanakasi na nguvu nyingi,Barcelona sanasana atamfunga Arsenal tu,akikutana na Stoke city lazima aombe poo.
 
mbona celtic iliapply kujiunga EPL? Hta barcelona ilianzia Fc basel ?? ni rahisi tu unaisajili upya uingereza kma kampuni mpya unaanzia tokea non league mpaka upande hadi EPL ssa kwa mazingira hayo lazma ukubaliwe tu
Barcelona akiomba kuanzia ligi kuu anakubaliwa,ile ni pesa tupu.
 
Barcelona akiomba kuanzia ligi kuu anakubaliwa,ile ni pesa tupu.
kma majirani mabingwa celtic na rangers walikataliwa sembuse spain?? away games stoke iende hadi spain?? obvious no wataambiwa watafute uwanja uingereza na ofisi hivyo itabidi timu mpya ifunguliwe sasa kwa sheria ya uingereza itabidi non league either conference north au south ikimaanisha misimu mitano ndio iingie EPL!!

kwa kisheria jambo hilo haliwezekani unless iww exceptional
 
Haha kama ni kama kampuni tu kwanini zisiweke matawi mengi duniani.. kila kampuni inataka kupanuka kimataifa! Nenda kawaze tena kwanza ndo uje
emoji3.png
emoji3.png
emoji2.png
mbona ajax ipo netherlands ikafungua branch south africa na baadae USA?? hta fc basel ni subsidiary ya Fc barcelona
 
Kwahiyo Yanga inaweza kuhamia EPL ikiamua?
Jf kuna mbumbumbu ivi? unashindw
aje kujua kua yanga iko Tanzania bara la Africa, na SPAIN na England ziko bala moja Europe. ata viwango vya ligi zao zinaendana kiubora.
 
Na Arsenal watahamia La liga, Man U tutaenda League 1, Chelsea wataenda Bundersiliga na Man City atakuja VPL abaki peke ake
Kwa iyo uko kote kuna matatizo ya kisiasa? Umu kuna vilaza akiamungu.
 
Back
Top Bottom