Barcelona wadaiwa kuhamia EPL, Wenger aanza kuhanya

Barcelona wadaiwa kuhamia EPL, Wenger aanza kuhanya

Hapa atapewa favour kutokana na hali ya nchini kwao, atajiunga moja kwa moja ligi kuu
Ikwa ndivyo, timu zitakazoshuka daraja msimu ujao zitakuwa 4
Kwahyo champioñship itakuwa affected? Yaani mfumo mzima wa ligi uharibiwe kisa katimu kamoja ??? That will never happen
 
Hivi timu inaweza kuhama kama taifa moja kwenda jingine (ligi moja hadi nyingine) kama kuhamisha kontena? Tujuzane hapa.
Inawezekana sababu ya hali ya kisiasa ilivyo sasa spain alafu barcelona ni wacatalans ila ni uamuzi wao tu wapi pa kwenda maeneo jirani wakitaka wanaweza hata baki hapohapo spain.
Mfano; mwingne nchi kama israel na uturuki hazipo ulaya ila wameona kuchezea kwenye shirikisho la ulaya kwa ngazi za vilabu mpaka taifa
 
Hizi ni ligue mbili tofaut mwanzo wa kuifukia barcelona kwenye kaburi la wazi umeanza
 
ha ha ha ha ahaaaaaah, huyu mzee yupo serous kweli? yaani tangu timu yake ya arsenal ianze kucheza na barca hajawahi kuijua?
 
wapuuzi wanaenda tangaza uhuru wao jumatatu
 
Nitake radhi mkuu.. Kuwa shabiki wa Arsenal ni sawa na kuuchagua umaskini na kuukumbatia!

Je unaweza kufanya hivyo?
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha haaaaaah! Kumradhi mkuu lakini kama sio mshabiki wa Arsenal tu, mi ni bora kabisa niache kushabikia mpira kuliko kushabikia Arsenal
 
Its very simple, inakuja nunuliwa weak team iliyopo ligi kuu, inasajili wachezaji hao hao waliotoka barcelona, kocha aliyetoka barcelona, challenge itakuwa in one match line up lazima awe na 5 british nationals kwa pitch, ambao atawanunua pia toka kwa club kubwa hapo hapo epl.
ubaya epl hamna weak team km la liga na uku usajili unaendelea kuna kitu kinaitwa financial fair play itasiji vipi wachezaji wa wote w barca uku anunue wachezaji wa5 wa british
 
ubaya epl hamna weak team km la liga na uku usajili unaendelea kuna kitu kinaitwa financial fair play itasiji vipi wachezaji wa wote w barca uku anunue wachezaji wa5 wa british
Itanunua bure or kwa mkopo.
 
Back
Top Bottom