Bahati furaha
JF-Expert Member
- Jul 11, 2012
- 3,054
- 1,415
Kumbuka nimegusia Jumuiya ya Ulaya.Brexit haihusiani na EPL usichanganye mada.
Ww ndio unachanganya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbuka nimegusia Jumuiya ya Ulaya.Brexit haihusiani na EPL usichanganye mada.
Kwahyo champioñship itakuwa affected? Yaani mfumo mzima wa ligi uharibiwe kisa katimu kamoja ??? That will never happenHapa atapewa favour kutokana na hali ya nchini kwao, atajiunga moja kwa moja ligi kuu
Ikwa ndivyo, timu zitakazoshuka daraja msimu ujao zitakuwa 4
Inawezekana sababu ya hali ya kisiasa ilivyo sasa spain alafu barcelona ni wacatalans ila ni uamuzi wao tu wapi pa kwenda maeneo jirani wakitaka wanaweza hata baki hapohapo spain.Hivi timu inaweza kuhama kama taifa moja kwenda jingine (ligi moja hadi nyingine) kama kuhamisha kontena? Tujuzane hapa.
[emoji3] [emoji3] [emoji23]Na Arsenal watahamia La liga, Man U tutaenda League 1, Chelsea wataenda Bundersiliga na Man City atakuja VPL abaki peke ake
Wales ni sehemu ya UKNi kitu kidogo tu cadif n swasea ni team za wales zinacheza EPL na wakati zina team yao ya taifa pia
Ila ina ligi yake na chama chake cha soka hivyo kisoka sio kweli kuwa zipo sehemu ya UKWales ni sehemu ya UK
Et kama kontenaaaHivi timu inaweza kuhama kama taifa moja kwenda jingine (ligi moja hadi nyingine) kama kuhamisha kontena? Tujuzane hapa.
Ha ha ha ha ha haaaaaaah, we bila shaka ni mshabiki wa ArsenalHiyo barca inaweza hata isiguse nne bora!
Nitake radhi mkuu.. Kuwa shabiki wa Arsenal ni sawa na kuuchagua umaskini na kuukumbatia!Ha ha ha ha ha haaaaaaah, we bila shaka ni mshabiki wa Arsenal
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha haaaaaah! Kumradhi mkuu lakini kama sio mshabiki wa Arsenal tu, mi ni bora kabisa niache kushabikia mpira kuliko kushabikia ArsenalNitake radhi mkuu.. Kuwa shabiki wa Arsenal ni sawa na kuuchagua umaskini na kuukumbatia!
Je unaweza kufanya hivyo?
ubaya epl hamna weak team km la liga na uku usajili unaendelea kuna kitu kinaitwa financial fair play itasiji vipi wachezaji wa wote w barca uku anunue wachezaji wa5 wa britishIts very simple, inakuja nunuliwa weak team iliyopo ligi kuu, inasajili wachezaji hao hao waliotoka barcelona, kocha aliyetoka barcelona, challenge itakuwa in one match line up lazima awe na 5 british nationals kwa pitch, ambao atawanunua pia toka kwa club kubwa hapo hapo epl.
Itanunua bure or kwa mkopo.ubaya epl hamna weak team km la liga na uku usajili unaendelea kuna kitu kinaitwa financial fair play itasiji vipi wachezaji wa wote w barca uku anunue wachezaji wa5 wa british