KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Naona Kasha tuuu sioni Dawa au tunameza Kasha? Refarii ni mbovuuuu
Hakuna msiba usiokuwa na sababu......
Lakini ukweli una baki kuwa aliyekufa kafa na mipango ya mazishi inaendelea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona Kasha tuuu sioni Dawa au tunameza Kasha? Refarii ni mbovuuuu
Mkuu neymar tayar yuko mbele na mpira uko mbele yake...that aliyeanguka ameenda kusababisha foul kwa mtu ambae anaenda ku score...Sasa nngeomba utoe ufafanuz...hii penalty inakuaje c halal
Huyu atakuwa ni shabiki wa Upande wa pili I.e MadridWatu wakununua game hawa
Utawaweza co
Kwa zle penalty za uongo
hayo Bayern na Real watakuwa wamechanganyikiwa muda huu. kama umewacheki barca mechi nne zilizopita huwezi sema tunacheza slow. mwaka huu tunabeba ndoo.Jaman acheni kupga kelele...barca. bado ana wakat mgum na hata tim zngne maana mchezo wa barca wa slow motion had wafke kwenye box ndo washoot tambua kuna bayern wazee wa mchaka mchaka ahainaga kuremba...lakn pia kuna real madrid wazee wa plan B country er attack so ndo kwanzaa waelekea robo...so haina haja ya kupga kelele
EPL ya big team like Arsenal kufungwa goli 10?, any way ngoja niweke akiba ya manenoWacha kuilinganisha EPL na ligi za kipuuzi wewe.. Kuna upambanaji gani sasa huko unapopasifia?
Barca wakali mkuuPenalt za figisufigisu tu
Hao wa EPL waliwahi kuonja machungu ya aina hii hii, enzi hizo Chelsea ikikutana na hasira za magwiji wa soka akiwepo Rivaldo Ferreira hapo hapo Nou CampBarcelona imeichanachana PSG kwa kuizaba mabao 6-1 na hivyo kusonga robo fainali kwa mabao 6-5. Katika mchezo wa kwanza,Barca walizabwa mabao 4-0
Barcelona imeweka rekodi mpya kwenye michuano ya Mabingwa Ulaya kwa kuwa timu ya kwanza kupindua matokeo ya tofauti ya mabao 4.
Premier League mko wapi muige upambanaji wa La Liga giants?
mkuu tukupe filimbi uchezeshe game uweke penalty za halali,HAKUNA PENALTY HATA MOJA YA HALALI KATI YA ZILE MBILI,TUSIONGEE KISHABIKI.
acha kulia lia wewe bus futa hayo magoli we unayosema sio ya halali, Mpira unachezwa ulaya refer kapimwa ya kuaminika na uongozi kaonekana ana faa, kachezesha game nyie mpo bongo mnalia lia tu chukua filimbi ukachezeshe wewe MKUUSiwezi Kuonea Wivu timu ambayo hainiingizii hata 100 wala Hamsini mbovuu......ila ukweli utabaki hata wewe unajua Kuwa hakukuwa na uhalali kwa baadhi ya Magori ni ubovu wa refarii.....Hilo unalijua ila umefunikwa na Ushabiki unavowapendelea timu fulani kisaikolojia unaharibu mbinu na uwezo wa Timu nyingine na hio sio mara ya kwanza kwa Barcelona!!!! Sometime weka ushabiki pembeni na Facts zitumike
Kama ni kweli unajua mpiraWe ongelea Chadema tu, mpira waachie wajuzi. Suarez na Neymar walijiangusha eneo la hatari, ni tofauti na kuangushwa!
Mkuu hizo za kujiangusha ni kuna ufund wakeKuwa na gori 4 sio tatizo lakini mwanzo mmeshawaharibu kisaikolojia na hiyo mmemtumia Refa kufanya hayooo tunajua hata marefa wana timu zao na hupanga matokeo nae anataka kuandika historia yake lakini sio sahihi kuonesha wazi wazi! Sidhani kama Suarezi kweli aliangushwaa hebu jaribu kuangalia Tena
Na ule mpira alio piga Di maria ukamgusa beki wenu ingekuwa upande wa PSG penalt ingewekwaa.....saikolojia ni kubwa kuliko hata nguvu za miguu....Ndio maana Nimesema UEFA inaendelea Tupo hapa mtakutana na Marefa wengine na Timu zingine
Mechi hiyo Milan alishinda 4-1 nyumbani. Ugenini huko Hispania akatandikwa 4-0 na kutolewaKuna Mechi moja ya Ac Milani na Deportivo ya Hisipania mambo yalijuea kama haya haya au kipindi hicho watu hawajaanza kutazama mipira? Tafuta hiyo Mechi
Mkuu upo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]We jamaa bhana, unajifanya kuandika makala hapa kumbe shabiki tu.
Penalt ya neymar wala haina mjadala...labda ya Suarez.......iki angalia kwa makn Suarez alipgwa konga la shingo, na kwenye got Lake la kulia pia aligongwa japo hizo faul alizofanyiwa zilikua very technical faul...Mkuu hizo za kujiangusha ni kuna ufund wake
Mastraika wachache mno wanaiwezea na ni moja ya sifa ya straika lazma uwe mjanja ukiwa ndani ya box nadhani englanda costa pia kaimaster hii trick sio rahisi hivo..otherwise straika ukiikosea hii trick unaeza ambulia kadi au huonag hizo mara kadhaa mtu anaanguka anapigwa kadi? Ni kuna namna ujanja na akili inatakiwa sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Refaree kumbe alilala Nyumbani kwa Messi siku moja kabla ya mechi Muhahahahaha