Barcelona yaichanachana PSG, yaweka rekodi mpya Ulaya

Naona Kasha tuuu sioni Dawa au tunameza Kasha? Refarii ni mbovuuuu

Hakuna msiba usiokuwa na sababu......

Lakini ukweli una baki kuwa aliyekufa kafa na mipango ya mazishi inaendelea
 
Reactions: PNC
hayo Bayern na Real watakuwa wamechanganyikiwa muda huu. kama umewacheki barca mechi nne zilizopita huwezi sema tunacheza slow. mwaka huu tunabeba ndoo.
 
Reactions: PNC
Wacha kuilinganisha EPL na ligi za kipuuzi wewe.. Kuna upambanaji gani sasa huko unapopasifia?
EPL ya big team like Arsenal kufungwa goli 10?, any way ngoja niweke akiba ya maneno
 
Reactions: PNC
Hao wa EPL waliwahi kuonja machungu ya aina hii hii, enzi hizo Chelsea ikikutana na hasira za magwiji wa soka akiwepo Rivaldo Ferreira hapo hapo Nou Camp
 
PSG kafa kafa wanaosema penalty sio halali hawaujui Moira psg wameridhika wewe nani mpaka ukatae?
 
Reactions: PNC
acha kulia lia wewe bus futa hayo magoli we unayosema sio ya halali, Mpira unachezwa ulaya refer kapimwa ya kuaminika na uongozi kaonekana ana faa, kachezesha game nyie mpo bongo mnalia lia tu chukua filimbi ukachezeshe wewe MKUU
 
We ongelea Chadema tu, mpira waachie wajuzi. Suarez na Neymar walijiangusha eneo la hatari, ni tofauti na kuangushwa!
Kama ni kweli unajua mpira
Kuna vitu ukiwa straika lazma uwe navyo plus ujanja ujanja ...kujiangusha kwenye box ni moja ya ujanja mmoja wapo wa straika so beki wanatakiwa wawe na akili sana wanapokutana na straika wenye akili ndani ya box otherwise kila ukikaba ni tuta mkuu
Hii kitu england diego costa anacho...sio kosa ni moja ya sifa ya kuwa straika kuna namna ya kufanya otherwise ukikosea unapigwa hata kadi ww mwenyew straika
 
Reactions: PNC
Mashabiki uchwara wa madrid ndio wanaleta ngojela za penat sio halali lakini wenyewe kutwa wanashinda kwa penat za kupewa!
 
Reactions: PNC
Mkuu hizo za kujiangusha ni kuna ufund wake
Mastraika wachache mno wanaiwezea na ni moja ya sifa ya straika lazma uwe mjanja ukiwa ndani ya box nadhani englanda costa pia kaimaster hii trick sio rahisi hivo..otherwise straika ukiikosea hii trick unaeza ambulia kadi au huonag hizo mara kadhaa mtu anaanguka anapigwa kadi? Ni kuna namna ujanja na akili inatakiwa sana
 
Kuna Mechi moja ya Ac Milani na Deportivo ya Hisipania mambo yalijuea kama haya haya au kipindi hicho watu hawajaanza kutazama mipira? Tafuta hiyo Mechi
 
Reactions: PNC
Kuna Mechi moja ya Ac Milani na Deportivo ya Hisipania mambo yalijuea kama haya haya au kipindi hicho watu hawajaanza kutazama mipira? Tafuta hiyo Mechi
Mechi hiyo Milan alishinda 4-1 nyumbani. Ugenini huko Hispania akatandikwa 4-0 na kutolewa
 
Reactions: PNC
Penalt ya neymar wala haina mjadala...labda ya Suarez.......iki angalia kwa makn Suarez alipgwa konga la shingo, na kwenye got Lake la kulia pia aligongwa japo hizo faul alizofanyiwa zilikua very technical faul...

Ukimchek yule bek baada ya kumuwekea konga Suarez alishtuka mapema akauonda mkono kumbe it was too late...maana the moment alivyoweka konga kwenye shingo ya Suarez,, Suarez akaanguka kibaya Zaid Suarez alikua mbele kwa hatua kadhaa..na n mtaalam wa kujidondosha

Sent from my E2303 using JamiiForums mobile app
 
Reactions: PNC
Refaree kumbe alilala Nyumbani kwa Messi siku moja kabla ya mechi Muhahahahaha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…