Kamanda J D
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 200
- 166
Inaonekana unamapenzi na Barca sana lakini zile penati mbili za harakaharaka katika dakika za majeruhi zilikuwa sio sahihi jamaa walinunua gemu ileSi kweli. Ni penati halali. Ujinga wa PSG ulikuwa ni kulinda muda wote
Sema na timu ipi inaonewaBarca.Rmadrid.Bayern Munich..... Zinabebwa sana..ukweli mchungu
Mkuu unajua kucheza mpira....? Je unazijua sheria za fifa za mpira wa miguu...? Je ww n mshabk fuata benderaa...? Mnatuchosha sana... Kwa hal hii soka la tanzania haliwez kuendeleaInaonekana unamapenzi na Barca sana lakini zile penati mbili za harakaharaka katika dakika za majeruhi zilikuwa sio sahihi jamaa walinunua gemu ile
KACHEZESHE WEWE.Penalt za figisufigisu tu
Mkuu wewe bado una zile za kuamini watu wa ulaya na haujui kuwa hata ulaya kuna omba omba Wazungu... Usiamini sana uchambuzi mwingine umekaa kishabiki zaidi maana kwa vitu vinavyo onekana wazi havihitaji uchambuzi majibu yake huwa ni pale pale ndio maana vyama vya Soccer huwatetea waamuzi kuwa ni makosa ya kibinadamu but tunavyoenda mbele ujinga unaendelezwa na Barcelona hautakuwepo tena technology itachukua mkondo na kila mtu atatoka na furaha iwe kashinda au kafungwa lakini sio upumbavu huu unaooneshwa sasa na Marefa... Hao Wachezaji kwanza wazushi wao walikuwa wanalalamika sana walipokuwa wanacheza ati leo ndio nguzo yako ya kuwaamini kha!Wale wachambuzi wamecheza soka la kulipwa, wanazijua sheria za soka, na saizi wamestaafu wanachambua soka, sasa si heri ni waamini wao kuliko wewe shabiki wa Man Utd
PNC upo mbona umwagi kali zako maana Utamu wa Soccwer Kubishana😀😀😀😀 Refaree leo kalalamika kwa Messi kuna Kunguni 😀😀😀[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu nimecheka saaaaana unajua maneno yote yameniisha yani leo muda wote nafurahi tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]PNC upo mbona umwagi kali zako maana Utamu wa Soccwer Kubishana😀😀😀😀 Refaree leo kalalamika kwa Messi kuna Kunguni 😀😀😀
Mkuu Kubahatisha lazima Ufurahi hadi kupitiliza Mshukuru Refa sana... na endapo ikatokea mkabeba Kombe refa wa jana asikose Medal pls[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu nimecheka saaaaana unajua maneno yote yameniisha yani leo muda wote nafurahi tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
B
A
R
C
E
L
O
N
A
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hapana mkuu yule refa ni kweli ni mbovu sababu nimeondoka kibandaumiza nikiwa nimekasirika kwani PSG tulitakiwa tuwapige 8:1 ila hili la kushinda 6 limenikoseshs furaha yani sina rahaMkuu Kubahatisha lazima Ufurahi hadi kupitiliza Mshukuru Refa sana... na endapo ikatokea mkabeba Kombe refa wa jana asikose Medal pls
Kwahiyo unataka nikuamini wewe ambae mpira wako unaangalizia Youtube au?Mkuu wewe bado una zile za kuamini watu wa ulaya na haujui kuwa hata ulaya kuna omba omba Wazungu... Usiamini sana uchambuzi mwingine umekaa kishabiki zaidi maana kwa vitu vinavyo onekana wazi havihitaji uchambuzi majibu yake huwa ni pale pale ndio maana vyama vya Soccer huwatetea waamuzi kuwa ni makosa ya kibinadamu but tunavyoenda mbele ujinga unaendelezwa na Barcelona hautakuwepo tena technology itachukua mkondo na kila mtu atatoka na furaha iwe kashinda au kafungwa lakini sio upumbavu huu unaooneshwa sasa na Marefa... Hao Wachezaji kwanza wazushi wao walikuwa wanalalamika sana walipokuwa wanacheza ati leo ndio nguzo yako ya kuwaamini kha!
Rio Ferdinand blasts referee Viktor Kassai after denying Raheem Sterling and Manchester City a penalty against Barcelona as Graham Poll says call was unfair on Pep Guardiola's side
Read more: Rio Ferdinand blasts referee Viktor Kassai after denying Raheem Sterling and Manchester City a penalty against Barcelona as Graham Poll says call was unfair on Pep Guardiola's side | Daily Mail Online
Follow us: @MailOnline on Twitter | DailyMail on Facebook
Mkuu upo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hao unaowaamini watizame wana mapenzi na timu gani???????????????? hebu watizame mwamba ngozi huvutia kwakeKwahiyo unataka nikuamini wewe ambae mpira wako unaangalizia Youtube au?
anayejua,anajua tu...aliyenacho ataongezewa zaidi....