Barcelona yaichanachana PSG, yaweka rekodi mpya Ulaya

Barcelona yaichanachana PSG, yaweka rekodi mpya Ulaya

Wadau wa huku maoni yao

11' - PSG players are asking for a penalty as the ball hits Mascherano's open arm after a cross attempt from Draxler. Looked like a clear pen to me

14890104979908.jpg
Mkuu nenda kawangalie Steven Gerrard, Michael Owen na Rio Fernand...nmerudia Mara 2 aisee lile goal la cta sio off side...

Suarez nae alipgwa konga la shingo huku akiwa mbele ya bek japo ilikua n Lyn...kawatazame Hao watakusaidia...

Penalt ya neymar yenyewe iko waz kabsa...jamaa mpaka wanajiuliza ilikuaje Alicia kutoa wakat n clear penalt

Sent from my E2303 using JamiiForums mobile app
 
Hii mech Rio Fernand na Steve Gerrard wameichambu vizur sana....kawaangalie

Sent from my E2303 using JamiiForums mobile app
Mkuu unajishusha sana kama unaamini maoni ya Mhariri zaidi kwenye Mechi ambayo umeitizama mwenyewe... Zamani nilikuwa nasikiliza mpira radioni nilipokua kidogo nikaanza kwenda uwanjani na kiredio changu kidogo kusikiliza ni uongo mtupu yaani mtu anapiga mpira nje and then mtangazaji anakuambia kosa kosa kidogo sana yaani lilikuwa goli yaani hadi unazima kiredia...

Hiyo miaka tushapita mkuu live ndio kila kitu
 
Mech nmeiangalia...
Lakn n mhim kuwa angalia wachambuz ambaoo tayar n ma legends kwenye team zao....

Pia n professionals na wamewah kucheza pale camp nou...sio mbaya kawaangalie

Penalt s zote zmeoneshwa na wamezichambua. Magol yote pia yameoneshwa nayo wameyachambua....

Sent from my E2303 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu nenda kawangalie Steven Gerrard, Michael Owen na Rio Fernand...nmerudia Mara 2 aisee lile goal la cta sio off side...

Suarez nae alipgwa konga la shingo huku akiwa mbele ya bek japo ilikua n Lyn...kawatazame Hao watakusaidia...

Penalt ya neymar yenyewe iko waz kabsa...jamaa mpaka wanajiuliza ilikuaje Alicia kutoa wakat n clear penalt

Sent from my E2303 using JamiiForums mobile app
Tizama hapa achana na Domo Ferdinand
 
Mie naona makosa ya PSG defense yalijengwa kimbinu na Barcelona tangu dk ya 1.
So it was obvious dk za mwisho zilikuwa za moto kwa akina Kurzawa and co,na Barca wakawa wepesi kuzitafuta faulo na penati,baada ya kuwachosha na kuwaondolea concentration PSG.
Hii ni mbinu ya mchezo iliyokuwa executef for 90 minutes.
 
Kwaio mchezo wa Leo muamala umehusika hapa au?
 
Mech nmeiangalia...
Lakn n mhim kuwa angalia wachambuz ambaoo tayar n ma legends kwenye team zao....

Pia n professionals na wamewah kucheza pale camp nou...sio mbaya kawaangalie

Sent from my E2303 using JamiiForums mobile app
Hao hao Maregend ndio huchagua Wachezaji bora kwa Mapenzi so ni corruption association isiyoaminika. Yaani unakuta wanasema oh Real Madrid kachukua sana UEFA afungwe ili Athletico abebe kombe kha!
 
Jaman acheni kupga kelele...barca. bado ana wakat mgum na hata tim zngne maana mchezo wa barca wa slow motion had wafke kwenye box ndo washoot tambua kuna bayern wazee wa mchaka mchaka ahainaga kuremba...lakn pia kuna real madrid wazee wa plan B country er attack so ndo kwanzaa waelekea robo...so haina haja ya kupga kelele
 
Tumewazoea hao.
Tangu siku ile akina Makaay,Tristan,Valeron,Pandiani chini ya mzee Irureta na Deportivo yao waliposhinda goli 4 mechi ambayo hadi dk ya 55 walikuwa wamepigwa 3 mtungi tena nyumbani kwa PSG na Okocha wao,mimi sikuwahi kuiamini PSG hadi leo!
Ilikuwa 2001 kama sikosei,so hawajaanza leo hao,wameshazoea hako kamchezo.
 
Nakuheshimu sikutegemea kama ungejivunjia heshima yako kwa Game moja hii! Hata ungekaa kimya ungeonesha pia ushabiki wako!! UEFA inaendelea sio timu zote ni PSG na sio Refa huyu ana Kibali cha kuchezesha mechi zote za Barcelona!

Tanzania mtu akiwa mwanasiasa basi atafanya kila kitu kisiasa!!! Sawa mmeshinda kwa mujibu wa Refa wenu!! Ligi kuu Uingereza itabaki kuwa Ligi ngumu hasa ubora wa Marefarii wake!!!

Ushabiki ni utumwaa unaweza hata danganya kisa ushabiki unaweza hata kubadilisha mambo kisa ushabiki

Leo nimekuelewa wewe ni mtu wa aina Gani japo kwa kifupi
Hivi ubora wa ligi ya England uko wapi, mara ya mwisho kutwaa klabu bingwa ni lin kwa tim za English, acheni siasa kwenye soka, juzi Arsenal amekula kumi, bado unasema ligi ya uingereza ni ngumu, Tatzo wanatumia nguvu nyingi kuliko akili
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Hatimaye yametimia..dk ya Tatu ya mchezo vijana wakatikisa nyavu
Sio hivyo tu Dk ya 88 ya mchezo walikua wanadaiwa goli 3 ili eafuzu 8 bora,PSG wakajitahidi kupark bus'_ili kulinda barca wasifanye madhara...log kumbe walifanya kosa kubwa kwani Ndani ya Dk 7 goli 3 zilipatikana na PSG kutupwa nje ya Mashindano!

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
Noma ni refaree sio barca. Kama barca noma walishindwa kwa Chelsea mwaka ule bus lilipakiwa.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom