Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu huu ni uchochezi wa kiwango cha SGR,! Ha ha ha ha ha hA.Leo Bariadi wameonesha njia na wametuma salamu za moja kwa moja kwa CCM na mgombea wake. Mahudhurio hafifu kama ya mgombea udiwani na angalia hapa chini jinsi mabasi na malori yalivyotumika kusomba watu lakini wapi.
Tumefika pazuri Magufuli ngebe zake azionyeshe sasa maana watu hata kwa kusombwa hawataki loo unapokuwa unatenda ukatili na kufokafoka kwa wananchi ambao unategemea watakupigia kura tena uwe unajiuliza kwanzaLeo Bariadi wameonesha njia na wametuma salamu za moja kwa moja kwa CCM na mgombea wake. Mahudhurio hafifu kama ya mgombea udiwani na angalia hapa chini jinsi mabasi na malori yalivyotumika kusomba watu lakini wapi.
Kwa hiyo picha sio zenyeweMkutano ulikuwa live kila kona, uwanja ulikuwa zaidi ya kujaa, nyomi, propaganda za uongo kama hizi zinawapoteza maboya CDM.
Leo Bariadi wameonesha njia na wametuma salamu za moja kwa moja kwa CCM na mgombea wake. Mahudhurio hafifu kama ya mgombea udiwani na angalia hapa chini jinsi mabasi na malori yalivyotumika kusomba watu lakini wapi.
Weka ushahidi wa pichaMkutano ulikuwa live kila kona, uwanja ulikuwa zaidi ya kujaa, nyomi, propaganda za uongo kama hizi zinawapoteza maboya CDM.
Itakuwa graphics hii. [emoji57]Leo Bariadi wameonesha njia na wametuma salamu za moja kwa moja kwa CCM na mgombea wake. Mahudhurio hafifu kama ya mgombea udiwani na angalia hapa chini jinsi mabasi na malori yalivyotumika kusomba watu lakini wapi.
Kama ni Bariadi ya Chenge ajilaumu mwenyeweLeo Bariadi wameonesha njia na wametuma salamu za moja kwa moja kwa CCM na mgombea wake. Mahudhurio hafifu kama ya mgombea udiwani na angalia hapa chini jinsi mabasi na malori yalivyotumika kusomba watu lakini wapi.
Weka ushahidi wa picha
Jr[emoji769]
Ingawa Mimi siko Simiyu lakini wewe vusha vingingi vya upeo, je ni saa ngapi hiyo? Mkutano ulipaswa kuwa saa ngapi? Na ushahidi ni giza la Hilo msimu wa kiangazia jua Kali Kanda ya ziwa pamoja na Saa hii [emoji116]Weka ushahidi wa picha
Jr[emoji769]
Acha uongo, fuatilia mkutano live hapaLeo Bariadi wameonesha njia na wametuma salamu za moja kwa moja kwa CCM na mgombea wake. Mahudhurio hafifu kama ya mgombea udiwani na angalia hapa chini jinsi mabasi na malori yalivyotumika kusomba watu lakini wapi.
Sijui unajaribu kumdandanya nani?, Na kuna maboya kama wewe watakuamini. TV zote zinaonyesha nyomi halafu unakuja na ngonjera zako za kuokoteza?.. Vitu vidogo Kama hivi ndo vinasababisha CHADEMA kionekane chama cha mafala.
Kwa kwa Magufuli mwaka huu atalinywa la chuya sukuma land hawataki warundi watu wakuwarudisha nyuma kuwachomea nyavu zao kuwaulia ng,ombe zao kuwaharibia soko lao la pamba mbaazi dengu na kunde,kuwavurugia biashara zao haha aende kwao warundi wanamsubiliMkutano ulikuwa live kila kona, uwanja ulikuwa zaidi ya kujaa, nyomi, propaganda za uongo kama hizi zinawapoteza maboya CDM.
Kwani nyomi ndo nini????!!!?.., Kuna mtu alikuwa na nyomi Kama Lowassa?, Huwa mnashindwa kufatilia mambo ya msingi mnafatilia ujinga ujinga tu. Kuna mtu nilimuuliza katika watanzania milioni 60 unaamini milioni 29 almost 1/2 wamejiandikisha kupiga kura!?.. hayo ndo Mambo ya msingi mkomalie, ndo maana hata mjaze nyomi vipi tumeshashinda, hata mfanyeje sababu mmeshachelewa na hamna akili.ilo nyomi lilikua wapi mkuu,,,mm nd nipo bariadi simiyu hapa narusha drone kwenye hili eneo lkn ukweli ni kwamba amna nyomi lolote...,wanabariadi sio wa namna io tu...,lbd km magu angeenda na wasanii wa tasnia zote bongo nzima angelipata ilo nyomi.
na ilo nyomi lingekua kwasababu ya wasanii tu sio kwasababu ya ankoo
#*tiotte255*