Ettore Bugatti
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 4,123
- 8,242
Jf wametoa picha au Ni kwangu tu!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anayejua kucheza na wana Bariadi ni Chenge [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani nyomi ndo nini????!!!?.., Kuna mtu alikuwa na nyomi Kama Lowassa?, Huwa mnashindwa kufatilia mambo ya msingi mnafatilia ujinga ujinga tu. Kuna mtu nilimuuliza katika watanzania milioni 60 unaamini milioni 29 almost 1/2 wamejiandikisha kupiga kura!?.. hayo ndo Mambo ya msingi mkomalie, ndo maana hata mjaze nyomi vipi tumeshashinda, hata mfanyeje sababu mmeshachelewa na hamna akili.
ndio maana Lowassa alishinda harafu kitengo wakmpaisha Magufuli ambaye maudhi yake yamewanyorosha maana sio kwa kuuwa na kutesa watu huko haijapata kutokea katika historia Lissu atashinda zaidi ya Lowassa
Nilitaka kujua mbona kasahau kwenda nao Bariadi..Sio magu tuu hata lissu anatembea na kijiji chake
Hangaika na maisha yako ujikomboe kwenye umasikini mjinga wewe...hao wanahangaika na maisha yao yaweze kwenda we unakuja kupoteza muda wa kutafuta kwa umbea utakufa masikiniLeo Bariadi wameonesha njia na wametuma salamu za moja kwa moja kwa CCM na mgombea wake. Mahudhurio hafifu kama ya mgombea udiwani na angalia hapa chini jinsi mabasi na malori yalivyotumika kusomba watu lakini wapi.
View attachment 1558175View attachment 1558177
Siyo mafala tu...mafarasiSijui unajaribu kumdandanya nani?, Na kuna maboya kama wewe watakuamini. TV zote zinaonyesha nyomi halafu unakuja na ngonjera zako za kuokoteza?.. Vitu vidogo Kama hivi ndo vinasababisha CHADEMA kionekane chama cha mafala.
Kuna mazezeta wengi sana humuKumbe ni rahisi sana kuwadanganya wana JF.
Mim ni mtumishi wa umma naogopa kuweka wazi husia zangu ili nisifukuzwe kazi, nawakilisha malaki ya wafanyakazi!. Hakuna uamasishaji wowote ulifanywa na chama cha siasa wakati wa kuandikisha, ni matangazo tu ya tume ndio yalikuwa yanapita mtaani na si watu wote walitakiwa kujiandikusha bali ni wale tu ambao hawana vitambulisho vya kura na waliohama makazi.Kwahiyo kusema chama flan kiliitisha mkutano kuhamasisha watu wajiandikishe hiyo haikuwepo nchi nzima, usipotoshe.Jumla ya Wapiga kura nchi nzima 29million
Jumla wanachama wa CCM 15million+
Jumla ya wanachama Chadema 2million
Wajumbe wa mitaa nchi nzima 97%+ hawa ndio wenye watu na walihamasisha wanachama kujiandikisha kupiga kura nyumba kwa nyumba na sasa wanafanya kazi ya kuuza wagombea wao nyumba kwa nyumba. Kwa maana hiyo ukiona mikutano yao inajaza basi ujue
Rais ni CCM 👍
Mbunge ni CCM 👍
Diwani ni CCM 👍
Hapo ukumbuke waliohamia chadema toka CCM kumfuata Lowasa, Sumaye, kingunge na wengine wote walisharudi kundini
CCM wamejipanga
Leo Bariadi wameonesha njia na wametuma salamu za moja kwa moja kwa CCM na mgombea wake. Mahudhurio hafifu kama ya mgombea udiwani na angalia hapa chini jinsi mabasi na malori yalivyotumika kusomba watu lakini wapi.
View attachment 1558175View attachment 1558177
Mkuu umenena. Binafsi nilikuwa kwenye Viwanja vya Furahisha hapa Mwanza alipokuja kuwadi wa mabeberu, lakini mtu humu JF anajua kura yangu ni kwa JPM!Na wanaweza wakajaa balaa kumbe wote sio wapiga kura kama mimi
Kama hivi.Watz wanamtaka Tundu Lissu
Mi nakumbuka Kuna chama kulikuwa kina hamasisha watu wajifungie ndani wakati wa uandikishaji kwasababu ya koronaMim ni mtumishi wa umma naogopa kuweka wazi husia zangu ili nisifukuzwe kazi, nawakilisha malaki ya wafanyakazi!. Hakuna uamasishaji wowote ulifanywa na chama cha siasa wakati wa kuandikisha, ni matangazo tu ya tume ndio yalikuwa yanapita mtaani na si watu wote walitakiwa kujiandikusha bali ni wale tu ambao hawana vitambulisho vya kura na waliohama makazi.Kwahiyo kusema chama flan kiliitisha mkutano kuhamasisha watu wajiandikishe hiyo haikuwepo nchi nzima, usipotoshe.
angalia nayo hili mbuziHaikuwepo haja ya kwenda uwanjani.
Mtu wa bariadi, na jamii yake hawezi kumpigia mchgadema.
Kula kwa mwana Susana
sera na ilani ni kujaza nyomi ya watu hata ambao hawana kazi wapo tu mtaani au sera na ilani ni kushuhulika na kero, matatizo, changamoto na umasikini wa watanzania ?Sijui unajaribu kumdandanya nani?, Na kuna maboya kama wewe watakuamini. TV zote zinaonyesha nyomi halafu unakuja na ngonjera zako za kuokoteza?.. Vitu vidogo Kama hivi ndo vinasababisha CHADEMA kionekane chama cha mafala.