Uchaguzi 2020 Bariadi: Mkutano wa kampeni CCM jionee

Uchaguzi 2020 Bariadi: Mkutano wa kampeni CCM jionee

Kwani nyomi ndo nini????!!!?.., Kuna mtu alikuwa na nyomi Kama Lowassa?, Huwa mnashindwa kufatilia mambo ya msingi mnafatilia ujinga ujinga tu. Kuna mtu nilimuuliza katika watanzania milioni 60 unaamini milioni 29 almost 1/2 wamejiandikisha kupiga kura!?.. hayo ndo Mambo ya msingi mkomalie, ndo maana hata mjaze nyomi vipi tumeshashinda, hata mfanyeje sababu mmeshachelewa na hamna akili.

brother tulia daw iwaingie kwa damu..., haina haja ya kupanick kaka angu [emoji28]
 
ndio maana Lowassa alishinda harafu kitengo wakmpaisha Magufuli ambaye maudhi yake yamewanyorosha maana sio kwa kuuwa na kutesa watu huko haijapata kutokea katika historia Lissu atashinda zaidi ya Lowassa

fact kubwa san eem wambie
 
Leo Bariadi wameonesha njia na wametuma salamu za moja kwa moja kwa CCM na mgombea wake. Mahudhurio hafifu kama ya mgombea udiwani na angalia hapa chini jinsi mabasi na malori yalivyotumika kusomba watu lakini wapi.
View attachment 1558175View attachment 1558177
Hangaika na maisha yako ujikomboe kwenye umasikini mjinga wewe...hao wanahangaika na maisha yao yaweze kwenda we unakuja kupoteza muda wa kutafuta kwa umbea utakufa masikini
 
Sijui unajaribu kumdandanya nani?, Na kuna maboya kama wewe watakuamini. TV zote zinaonyesha nyomi halafu unakuja na ngonjera zako za kuokoteza?.. Vitu vidogo Kama hivi ndo vinasababisha CHADEMA kionekane chama cha mafala.
Siyo mafala tu...mafarasi
 
Jumla ya Wapiga kura nchi nzima 29million
Jumla wanachama wa CCM 15million+
Jumla ya wanachama Chadema 2million
Wajumbe wa mitaa nchi nzima 97%+ hawa ndio wenye watu na walihamasisha wanachama kujiandikisha kupiga kura nyumba kwa nyumba na sasa wanafanya kazi ya kuuza wagombea wao nyumba kwa nyumba. Kwa maana hiyo ukiona mikutano yao inajaza basi ujue
Rais ni CCM 👍
Mbunge ni CCM 👍
Diwani ni CCM 👍

Hapo ukumbuke waliohamia chadema toka CCM kumfuata Lowasa, Sumaye, kingunge na wengine wote walisharudi kundini

CCM wamejipanga
Mim ni mtumishi wa umma naogopa kuweka wazi husia zangu ili nisifukuzwe kazi, nawakilisha malaki ya wafanyakazi!. Hakuna uamasishaji wowote ulifanywa na chama cha siasa wakati wa kuandikisha, ni matangazo tu ya tume ndio yalikuwa yanapita mtaani na si watu wote walitakiwa kujiandikusha bali ni wale tu ambao hawana vitambulisho vya kura na waliohama makazi.Kwahiyo kusema chama flan kiliitisha mkutano kuhamasisha watu wajiandikishe hiyo haikuwepo nchi nzima, usipotoshe.
 
Mi nakumbuka Kuna chama kulikuwa kina hamasisha watu wajifungie ndani wakati wa uandikishaji kwasababu ya korona
 
Sijui unajaribu kumdandanya nani?, Na kuna maboya kama wewe watakuamini. TV zote zinaonyesha nyomi halafu unakuja na ngonjera zako za kuokoteza?.. Vitu vidogo Kama hivi ndo vinasababisha CHADEMA kionekane chama cha mafala.
sera na ilani ni kujaza nyomi ya watu hata ambao hawana kazi wapo tu mtaani au sera na ilani ni kushuhulika na kero, matatizo, changamoto na umasikini wa watanzania ?
 
Back
Top Bottom