Ni kweli walikuwa wanamtaka DJ, lakini ndio hivyo DJ kachomoa, Sasa sijui watamchagua AntiKwa kwa Magufuli mwaka huu atalinywa la chuya sukuma land hawataki warundi watu wakuwarudisha nyuma kuwachomea nyavu zao kuwaulia ng,ombe zao kuwaharibia soko lao la pamba mbaazi dengu na kunde,kuwavurugia biashara zao haha aende kwao warundi wanamsubili