Uchaguzi 2020 Bariadi: Mkutano wa kampeni CCM jionee

Uchaguzi 2020 Bariadi: Mkutano wa kampeni CCM jionee

Kwa kwa Magufuli mwaka huu atalinywa la chuya sukuma land hawataki warundi watu wakuwarudisha nyuma kuwachomea nyavu zao kuwaulia ng,ombe zao kuwaharibia soko lao la pamba mbaazi dengu na kunde,kuwavurugia biashara zao haha aende kwao warundi wanamsubili
Ni kweli walikuwa wanamtaka DJ, lakini ndio hivyo DJ kachomoa, Sasa sijui watamchagua Anti
 
Mtaa unaoishi wewe ndio hamkuhamasishwa.
Na itakua asilimia ngapi kwa data ulizonazo? Naongea ninachokijua sababu uhamasiswhwaji uliambatana na taarifa za miradi ya maendeleo pamoja na usajili wa wanachama wapya.
Ninavyoandika hapa kwamba wanachama hao wanachama million 15 ilikua kabla ya kuboreshwa daftari la wapiga kura, ila hadi sasaivi wanakadiriwa kuwa million19+
Hao ni wakubumba/ maruhani ili bao la mkono lisipate pingamizi
 
Leo Bariadi wameonesha njia na wametuma salamu za moja kwa moja kwa CCM na mgombea wake. Mahudhurio hafifu kama ya mgombea udiwani na angalia hapa chini jinsi mabasi na malori yalivyotumika kusomba watu lakini wapi.
View attachment 1558175View attachment 1558177
Kwa haraka haraka nimepata idadi ya mabasi 8 na malori 14, magari madogo sikuhesabu kwa sababu mengine ni ya viongozi wa chama na mengine ni ya walinzi wa raisi na viongozi wa juu serikalini, na yaliyo baki inawezekana ikawa ni dereva na abiria wake mmoja ama wawili.
Nikilinganisha na idadi ya watu naweza kuamini kwamba wakazi wa eneo husika hawafiki hata 10% katika huo mkutano.
Je idadi hii ina uhusiano wowote na kuondolewa kwa mzee wa vijisenti?

Kwa idadi hii ingekuwa mgombea uraisi wa upinzani ama mgombea ubunge wa chama tawala ningesema ni idadi kubwa sana. Lakini mgombea uraisi aliyepo madarakani tena kipenzi cha watu (anaekubalika na kada zote) kupata idadi hii, sasa naelewa lile swali "nimefanya dhambi gani?"
 
Back
Top Bottom