Uchaguzi 2020 Bariadi: Mkutano wa kampeni CCM jionee

fazili

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
16,427
Reaction score
22,418
Leo Bariadi wameonesha njia na wametuma salamu za moja kwa moja kwa CCM na mgombea wake. Mahudhurio hafifu kama ya mgombea udiwani na angalia hapa chini jinsi mabasi na malori yalivyotumika kusomba watu lakini wapi.
Magu bariadi1.png
Magu bariadi2.png
 
Leo Bariadi wameonesha njia na wametuma salamu za moja kwa moja kwa CCM na mgombea wake. Mahudhurio hafifu kama ya mgombea udiwani na angalia hapa chini jinsi mabasi na malori yalivyotumika kusomba watu lakini wapi.
Mkuu huu ni uchochezi wa kiwango cha SGR,! Ha ha ha ha ha hA.
 
Leo Bariadi wameonesha njia na wametuma salamu za moja kwa moja kwa CCM na mgombea wake. Mahudhurio hafifu kama ya mgombea udiwani na angalia hapa chini jinsi mabasi na malori yalivyotumika kusomba watu lakini wapi.
Tumefika pazuri Magufuli ngebe zake azionyeshe sasa maana watu hata kwa kusombwa hawataki loo unapokuwa unatenda ukatili na kufokafoka kwa wananchi ambao unategemea watakupigia kura tena uwe unajiuliza kwanza
 
Sijui unajaribu kumdandanya nani?, Na kuna maboya kama wewe watakuamini. TV zote zinaonyesha nyomi halafu unakuja na ngonjera zako za kuokoteza?.. Vitu vidogo Kama hivi ndo vinasababisha CHADEMA kionekane chama cha mafala.
 
Leo Bariadi wameonesha njia na wametuma salamu za moja kwa moja kwa CCM na mgombea wake. Mahudhurio hafifu kama ya mgombea udiwani na angalia hapa chini jinsi mabasi na malori yalivyotumika kusomba watu lakini wapi.
Itakuwa graphics hii. [emoji57]
 
Haikuwepo haja ya kwenda uwanjani.

Mtu wa bariadi, na jamii yake hawezi kumpigia mchgadema.

Kula kwa mwana Susana
 
Leo Bariadi wameonesha njia na wametuma salamu za moja kwa moja kwa CCM na mgombea wake. Mahudhurio hafifu kama ya mgombea udiwani na angalia hapa chini jinsi mabasi na malori yalivyotumika kusomba watu lakini wapi.
Kama ni Bariadi ya Chenge ajilaumu mwenyewe
 
Weka ushahidi wa picha

Jr[emoji769]
Ingawa Mimi siko Simiyu lakini wewe vusha vingingi vya upeo, je ni saa ngapi hiyo? Mkutano ulipaswa kuwa saa ngapi? Na ushahidi ni giza la Hilo msimu wa kiangazia jua Kali Kanda ya ziwa pamoja na Saa hii [emoji116]
Screenshot_20200904-152018~3.jpeg
 
Leo Bariadi wameonesha njia na wametuma salamu za moja kwa moja kwa CCM na mgombea wake. Mahudhurio hafifu kama ya mgombea udiwani na angalia hapa chini jinsi mabasi na malori yalivyotumika kusomba watu lakini wapi.
Acha uongo, fuatilia mkutano live hapa

Ujionee wananchi walivyomiminika kwa Magufuli

Cc G Sam Froida MasterGamaliel Mshana Jr
 
Sijui unajaribu kumdandanya nani?, Na kuna maboya kama wewe watakuamini. TV zote zinaonyesha nyomi halafu unakuja na ngonjera zako za kuokoteza?.. Vitu vidogo Kama hivi ndo vinasababisha CHADEMA kionekane chama cha mafala.

ilo nyomi lilikua wapi mkuu,,,mm nd nipo bariadi simiyu hapa narusha drone kwenye hili eneo lkn ukweli ni kwamba amna nyomi lolote...,wanabariadi sio wa namna io tu...,lbd km magu angeenda na wasanii wa tasnia zote bongo nzima angelipata ilo nyomi.

na ilo nyomi lingekua kwasababu ya wasanii tu sio kwasababu ya ankoo

#*tiotte255*
 
Mkutano ulikuwa live kila kona, uwanja ulikuwa zaidi ya kujaa, nyomi, propaganda za uongo kama hizi zinawapoteza maboya CDM.
Kwa kwa Magufuli mwaka huu atalinywa la chuya sukuma land hawataki warundi watu wakuwarudisha nyuma kuwachomea nyavu zao kuwaulia ng,ombe zao kuwaharibia soko lao la pamba mbaazi dengu na kunde,kuwavurugia biashara zao haha aende kwao warundi wanamsubili
 
ilo nyomi lilikua wapi mkuu,,,mm nd nipo bariadi simiyu hapa narusha drone kwenye hili eneo lkn ukweli ni kwamba amna nyomi lolote...,wanabariadi sio wa namna io tu...,lbd km magu angeenda na wasanii wa tasnia zote bongo nzima angelipata ilo nyomi.

na ilo nyomi lingekua kwasababu ya wasanii tu sio kwasababu ya ankoo

#*tiotte255*
Kwani nyomi ndo nini????!!!?.., Kuna mtu alikuwa na nyomi Kama Lowassa?, Huwa mnashindwa kufatilia mambo ya msingi mnafatilia ujinga ujinga tu. Kuna mtu nilimuuliza katika watanzania milioni 60 unaamini milioni 29 almost 1/2 wamejiandikisha kupiga kura!?.. hayo ndo Mambo ya msingi mkomalie, ndo maana hata mjaze nyomi vipi tumeshashinda, hata mfanyeje sababu mmeshachelewa na hamna akili.
 
Back
Top Bottom